Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa.

Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.

- OFFICIAL  Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti wake Dr.Mshndo Msola imemtangaz ( 640 X 640 ).jpg
 
Hana jipya, wachezaji ni wale wale hadi mwisho wa msimu. Kama forward butu, Mwambusi hawezi kuiwezesha tena maana Nchimbi na Sarpong ni wale wale.

Kama defence ni mbovu, Mwambusi hawezi kuiimarisha maana Lamine na Mwamnyeto ni wale wale. Yanga wasubiri tu msimu mpya, vinginevyo hata huyu watamfukuza.
 
Hana jipya, wachezaji ni wale wale hadi mwisho wa msimu. Kama forward butu, Mwambusi hawezi kuiwezesha tena maana Nchimbi na Sarpong ni wale wale. Kama defence ni mbovu, Mwambusi hawezi kuiimarisha maana Lamine na Mwamnyeto ni wale wale. Yanga wasubiri tu msimu mpya, vinginevyo hata huyu watamfukuza
Kwahy tukusaidie nn
 
Huu ni ushahidi Uto-Poo wanajaribu kuwaandaa mashabiki wao kisaikolojia kwamba Simba ndio bingwa msimu huu na pengine misimu michache ijayo.

Mashabiki wao wengi bado wapo kwenye stage ya kwanza ya grief, denial. Wale werevu wachache tayari wapo kwenye stage ya pili, anger.
 
Na mwandishi wetu;

Club ya Yanga wametangaza Juma Mwambusi kama kocha wao mkuu kipindi wanajiandaa kupata kocha wa kudumu na mwenye viwango vya kimataifa.

Ikumbukwe sio mara ya kwanza kwa Kocha huyu kukitumikia kikosi hicho Bora cha Wananchi.

Je ,nini tutarajie katika hili?

Wachambuzi na wajuvi karibuni

(Najua mikia fc watachafua uzi huu safi😅)

# Magema Jr
#sportsfire
 
Back
Top Bottom