Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

Na mwandishi wetu;

Club ya Yanga wametangaza Juma Mwambusi kama kocha wao mkuu kipindi wanajiandaa kupata kocha wa kudumu na mwenye viwango vya kimataifa.

Ikumbukwe sio mara ya kwanza kwa Kocha huyu kukitumikia kikosi hicho Bora cha Wananchi.

Je ,nini tutarajie katika hili?

Wachambuzi na wajuvi karibuni

(Najua mikia fc watachafua uzi huu safi[emoji28])

# Magema Jr
#sportsfire
Kaondoka, kaondoka tena. Yanga ni genge la wahuni kuanzia viongozi,wanachama, washabiki hadi washabiki maandazi
 
Back
Top Bottom