Unajua nime mquote nan apo au unalazimsha nje ya mada tu mkuu think big ata darasan tulifundshwa kwa mifano....soma upya comment ya mtu nilie mquote ndo utaelewa nimesema nnUsipende kutoka nje ya mada Mzee
Usikimbie swali elewa swali walikuwa wote kategori ngapi hizo tuzo???Afrimma, afrima, mtv ema 2, channel o, uganda Awards, nigeria Awards, SA Awards, cokes Awards, kenya Awards izi zote ujaziona mkuu
Kama wewe ni shabiki wa kiba lazima ujue walikua ote category ngap apo...mimi ambae sio shabiki wake najua iweje wewe usijue mbn mimi sina maswal ya dizain yako mkuu hahahaha....nilisahau weka na mtv baseUsikimbie swali elewa swali walikuwa wote kategori ngapi hizo tuzo???
Me shabiki Wa mziki mzur Mzee kama kiba atatoa ngoma Kali ntaimba na ntakuwa nayo na kwa wengine pia..umekimbia swaliKama wewe ni shabiki wa kiba lazima ujue walikua ote category ngap apo...mimi ambae sio shabiki wake najua iweje wewe usijue mbn mimi sina maswal ya dizain yako mkuu hahahaha....nilisahau weka na mtv base
Mimi pia ni shabiki wa miziki mzuri nyimbo za kiba na dai ninazoMe shabiki Wa mziki mzur Mzee kama kiba atatoa ngoma Kali ntaimba na ntakuwa nayo na kwa wengine pia..umekimbia swali
Kama "Nature yupo sawa" kama ulivyosema, basi ndiye huyo huyo aliyekiri kuwa Game inaongozwa na Mondi na Kiba hana ubavu ila yeye tu ndiye wa kupambana naeHawez kuomba coz kuna watu hawawez till now nature yupo sawa na mkatae mkubali diamond kimuziki atasubir sana kwa Kiba yaani hiyo kubalini au kataeni
Vipi tuzo za kule Nigeria, Kenya na Marekani alizozoa Mond, au kiba kule ahusiki?Ndo ukweli kiba anafanya muziki mkubwa sana
Me nataka tuelekezane kama umejipanga kubishana sorry.Kama "Nature yupo sawa" kama ulivyosema, basi ndiye huyo huyo aliyekiri kuwa Game inaongozwa na Mondi na Kiba hana ubavu ila yeye tu ndiye wa kupambana nae
Hahahahaaaaaa...haya bwana naona swali limekuwa gumu kiasi umeamua kujitungia swali ndani ya swali... Naomba nlale Mzee dakika nne zimepita tangu jumapili iingie..Vipi tuzo za kule Nigeria, Kenya na Marekani alizozoa Mond, au kiba kule ahusiki?
Yaishe ndugu yangu... Usikumwema.Mimi pia ni shabiki wa miziki mzuri nyimbo za kiba na dai ninazo
Swali lako sijalikimbia ili hali unajua unachouliza mm nilitegemea ungeenda kwenye main point ya unachotaka kuuliza kutoka kwenye hilo swali
Sawa mkuu nawe piaYaishe ndugu yangu... Usikumwema.
Ajabu ni kuwa mziki mkubwa huo nchi za wenye miziki yao hawamuoni, anaonekana yule mwenye mziki mdogoNdo ukweli kiba anafanya muziki mkubwa sana
shabiki wa mziki mzuriiiiiii...!Me shabiki Wa mziki mzur Mzee kama kiba atatoa ngoma Kali ntaimba na ntakuwa nayo na kwa wengine pia..umekimbia swali
Nchi zenye mziki wao zipi?Ajabu ni kuwa mziki mkubwa huo nchi za wenye miziki yao hawamuoni, anaonekana yule mwenye mziki mdogo
Yaah na ndo maana kwnye handset yng hukuti nyimbo za msanii mmoja tu Mzee kwanza ringtone yangu ni sukachile ya defao.. Utanambia nnshabiki wa mziki mzuriiiiiii...!
majibu unayo tutapoteza muda tu hapaa...Hivi mbona hajasema vigezo vya kushindana? Hata mnao sema kiba ni bora kuliko mond, mnatumia vigezo gani? Naomba mtaje kuwa huyu kwenye kigezo hiki ni mzr kuliko huyu, then tujue bora.