Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Usipende kutoka nje ya mada Mzee
Unajua nime mquote nan apo au unalazimsha nje ya mada tu mkuu think big ata darasan tulifundshwa kwa mifano....soma upya comment ya mtu nilie mquote ndo utaelewa nimesema nn
 
Usikimbie swali elewa swali walikuwa wote kategori ngapi hizo tuzo???
Kama wewe ni shabiki wa kiba lazima ujue walikua ote category ngap apo...mimi ambae sio shabiki wake najua iweje wewe usijue mbn mimi sina maswal ya dizain yako mkuu hahahaha....nilisahau weka na mtv base
 
Me shabiki Wa mziki mzur Mzee kama kiba atatoa ngoma Kali ntaimba na ntakuwa nayo na kwa wengine pia..umekimbia swali
 
Mimi pia ni shabiki wa miziki mzuri nyimbo za kiba na dai ninazo
Swali lako sijalikimbia ili hali unajua unachouliza mm nilitegemea ungeenda kwenye main point ya unachotaka kuuliza kutoka kwenye hilo swali
 
Hawez kuomba coz kuna watu hawawez till now nature yupo sawa na mkatae mkubali diamond kimuziki atasubir sana kwa Kiba yaani hiyo kubalini au kataeni
Kama "Nature yupo sawa" kama ulivyosema, basi ndiye huyo huyo aliyekiri kuwa Game inaongozwa na Mondi na Kiba hana ubavu ila yeye tu ndiye wa kupambana nae
 
Me nataka tuelekezane kama umejipanga kubishana sorry.
 
Vipi tuzo za kule Nigeria, Kenya na Marekani alizozoa Mond, au kiba kule ahusiki?
Hahahahaaaaaa...haya bwana naona swali limekuwa gumu kiasi umeamua kujitungia swali ndani ya swali... Naomba nlale Mzee dakika nne zimepita tangu jumapili iingie..
 
Mimi pia ni shabiki wa miziki mzuri nyimbo za kiba na dai ninazo
Swali lako sijalikimbia ili hali unajua unachouliza mm nilitegemea ungeenda kwenye main point ya unachotaka kuuliza kutoka kwenye hilo swali
Yaishe ndugu yangu... Usikumwema.
 
Hivi mbona hajasema vigezo vya kushindana? Hata mnao sema kiba ni bora kuliko mond, mnatumia vigezo gani? Naomba mtaje kuwa huyu kwenye kigezo hiki ni mzr kuliko huyu, then tujue bora.
 
majibu unayo tutapoteza muda tu hapaa...
 
Back
Top Bottom