George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
ahahahahah...Nmemskia Raymond Mzee... Mond amefanya kitu kizur sana awanyanyue madogo then kaz aanze kupiga kwenye studio yake bt kwa jina lake lilivyokubwa nlipenda aanze kupiga live band atatisha sana mzee
najua LIVE band ndo ugonjwa wako mzee...
lakini ukweli unabaki kuwa ni wasanii wachache sana AFRICA wanaweza fanya hiyo kitu ya LIVE band...
hili jambo sio la kubisha..!!!