playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Nazungumzia MUZIKI unazungumzia USHABIKI hatuez elewana sawa kiba hana vina wala nn ila kasome fasihi aina za fasihi kajifunze juu ya wanamapokeo na wana usasa afu skiza vizur nyimbo za kiba kisha oga lala.Unajua nyimbo za kiba hazinaga vina anaimbimba tu
Utunzi upi wa nyimbo bila vina muulize Niki mbishi atakujibu kuhusu utunzi wa domo anassma kwa wabana pua domo anafata utaratibu zote za utunzi kiba labda kubana pua tu ndo anachomshindia domo lkn utunzi kiba atasubili sana