playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
We ndo mwehu unasema 2010 Mond kachukua tatu kiba akataka kujitoa unajitoa ufahamu siyo?.. Ndo nakwambia 2010 utata ulitokea kwa Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya Belle coz ndo walikuwa wanatoka sasa upcoming artist ya 2010 inamuhusu nn kiba andazi ww hahahaaaa nyinyi zeroo mnayemshabikia zeroo basi vurugu tupu mjini hapaKila mara nakwambia ww akili ndogo na sishangai coz team kiba wote ndo mlivo akili size za diclopa so sishangai......bila sepenga ata izo tunzo za mwaka jana mngezisikia kwny bomba tu......tunaongea kuhusu kiba unatuletea belle 9 unajielewa kweli ww