Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

Kila mara nakwambia ww akili ndogo na sishangai coz team kiba wote ndo mlivo akili size za diclopa so sishangai......bila sepenga ata izo tunzo za mwaka jana mngezisikia kwny bomba tu......tunaongea kuhusu kiba unatuletea belle 9 unajielewa kweli ww
We ndo mwehu unasema 2010 Mond kachukua tatu kiba akataka kujitoa unajitoa ufahamu siyo?.. Ndo nakwambia 2010 utata ulitokea kwa Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya Belle coz ndo walikuwa wanatoka sasa upcoming artist ya 2010 inamuhusu nn kiba andazi ww hahahaaaa nyinyi zeroo mnayemshabikia zeroo basi vurugu tupu mjini hapa
 
Fasihi Ina matawi pamoja na mziki sawa but nachotaka kujua kutoka kwako nn maana ya utunzi kwa uelewa wako.....no!ekwambia iv kiba Anachomzid domo ni kubana pua tu lkn ukiangalia utunzi kiba akasome nymbo zake nyingi hazina vina na mizani anaimba imba kama nyimbo za aic chang'ombe vijana choir
Hapo katika vina na mizani kwanza siyo kweli kwamba nyimbo zake hazina vina na mizani lakini pili hata ikiwa kweli hazina vina na mizani hafungwi na kanuni yyte ile coz wana usasa wanafanya uandishi wa aina hiyo ila wanamapokeo wanafuata kanuni za vina na mizani sawa?..pia muwe mnasoma soma basi mashabiki wa diamond maana mnayemshabikia kakimbia umande na nyinyi mkikimbia umande iitakuwa shida jaamaniii ona salsa unanipa Kazi ya kukufundisha juu ya wana mapokeo na wana usasa wakat nlitakiwa nfanye mambo mengine now hahahahahahaaaaa...
 
Ivi ww jamaa kiba mziki kaanza lini na kabla ya izo tuzo za mwaka Jana kiba alikuwa hajawai kuwa nominated unafurahisha Sana sana ww kaka kiba kaanza mziki 2005 uko domo kaanza 2009 but nani mwenye mafanikio kweny mziki nyie mashabiki wa kiba huwa nahisi uelewa wenu mdogo sana
Mwanangu unashikilia sana suala la uelewa mdogo.. Hebu tuachane na hii mada ya diamond na alikiba naomba nipe historia yako ya elimu na kisha nambie unajishughulisha na nini sasa... Maana kila post"uelewa mdogo"..kila post "uelewa mdogo"..kwenye ushairi tunaita kibwagizo hebu tupeane hapa background za school till now Mzee haya mwenye uelewa mkubwa naomba uanze kunata na beat kuanzia msingi hadi ulipo sasa.
 
Dimond ndo nani
Dimond sijui ni KIFAA gani hicho...
lakini kwa kukusaidia tu Diamond Platnumz ni King of Bongo Fleva...
sasa hivi ana majina tofauti tofauti,ukisikia D3,Chibu Dangote,Simba,Jitu Baya,The Game Changer,Baba Tiffah wala usichanganyikiwe..
yote hayo ni majina yake piah..!
 
juma nature ni mkaliii wa jukwaaaniiiii balaaaaa ...yaanii akiiingiagaaa tuu kalee ka mdundo ka wimbo mwanzoniii watuuu mzukaa juuuu hata ww unaweza jikuta unasema woyooooooo...huyu jamaa ni hatarii mfano chukuliaa ka wimbo ka mgambo wanaluka na kukanyagana kanavyoanzagaa..mkali wa free style alikuwa ngwair lakini wa jukwaanii ni juma nature sio diamond
sawah..!
 
We ndo mwehu unasema 2010 Mond kachukua tatu kiba akataka kujitoa unajitoa ufahamu siyo?.. Ndo nakwambia 2010 utata ulitokea kwa Mond kuchukua tuzo tatu mbele ya Belle coz ndo walikuwa wanatoka sasa upcoming artist ya 2010 inamuhusu nn kiba andazi ww hahahaaaa nyinyi zeroo mnayemshabikia zeroo basi vurugu tupu mjini hapa
Kuongea na mtu kichwa maji ni shida utatumia ngvu nyingi kumwelekeza kitu kidogo tu......kipimo chako cha kuwa kiba ni mkali ni kutokana na kuchukua cjui tuzo tano aut of six walizokuwa nominated pamoja na domo so na mm nikaamua kukurudisha nyuma kidogo kipindi diamond unatoka tu hana ata mashabiki weng kivile alipiga tuzo tatu mbele ya huyo king wako na yy kuambulia gharasa......kiba kinachombeba ni bifu ata yy analijua hilo ndo maana kabakiza majungu tu.....
Msanii gani nyimbo zake hazina ubunifu kama nyimbo za kwaya? nyimbo no vina no mizani vionjo ndn ya nyimbo hakuna....aendelee kubana pua tu ndo kazi iliyobaki...!!!
 
Mwanangu unashikilia sana suala la uelewa mdogo.. Hebu tuachane na hii mada ya diamond na alikiba naomba nipe historia yako ya elimu na kisha nambie unajishughulisha na nini sasa... Maana kila post"uelewa mdogo"..kila post "uelewa mdogo"..kwenye ushairi tunaita kibwagizo hebu tupeane hapa background za school till now Mzee haya mwenye uelewa mkubwa naomba uanze kunata na beat kuanzia msingi hadi ulipo sasa.
Imekuuma eeeh ww mbn ananita majina meng tu Mara kiazi mara cjui kimba mbn ata cjashtuka coz nawajua team kiba kwa kutukana tu mko juu wengi wenu uelewa ni ziro.....akili ndogozzzz
 
Hapo katika vina na mizani kwanza siyo kweli kwamba nyimbo zake hazina vina na mizani lakini pili hata ikiwa kweli hazina vina na mizani hafungwi na kanuni yyte ile coz wana usasa wanafanya uandishi wa aina hiyo ila wanamapokeo wanafuata kanuni za vina na mizani sawa?..pia muwe mnasoma soma basi mashabiki wa diamond maana mnayemshabikia kakimbia umande na nyinyi mkikimbia umande iitakuwa shida jaamaniii ona salsa unanipa Kazi ya kukufundisha juu ya wana mapokeo na wana usasa wakat nlitakiwa nfanye mambo mengine now hahahahahahaaaaa...
Hahahaaaa ww jamaa unajikuta unajua sana kama upo THT aya bhana mwana usasa.....lkn kama ww mfutiliaji wa mziki sikiliza ata nyimbo za kina chris, bieber, mj sikiliza mashairi na uandishi wao apo ndo utajua nani unajua kutunga mashairi.....msanii lazma ufate taratibu za utunzi hiyo cyo kwaya za aic.....mistari no vina na yenye vina haina maana
 
Kiroboto anataka kuwa kituko kama ali kiba,wakati yupo juu badala ya kukaza akaendekeza bangi.
Ajaribu kwanza kuwafikia chege na Temba.
kiroboto,timbulo,inspekta,afande sele na kiba hawana tofati ya ubongo.
Walipokua juu kimuziki wakajisahau,njaa imewapiga wanapata tabu kweli kurudi sokoni
 
Unazungumzia USHABIKI Mimi nazungumzia MUZIKI ngumu kuelewana.
 
Kiroboto anataka kuwa kituko kama ali kiba,wakati yupo juu badala ya kukaza akaendekeza bangi.
Ajaribu kwanza kuwafikia chege na Temba.
kiroboto,timbulo,inspekta,afande sele na kiba hawana tofati ya ubongo.
Walipokua juu kimuziki wakajisahau,njaa imewapiga wanapata tabu kweli kurudi sokoni
Kiba atawaua nyny hahahahaaaaa Bongo yake hii haimsumbui na ndo maana mond hashindanishwi na Belle, jux, Ben pol wala nani semeni tu ukweli kwamba jamaa ni hatari na anawanyima usingizi
 
Back
Top Bottom