Juma Nature: His Top Five of All The Time

Juma Nature: His Top Five of All The Time

Anaitwa Juma Kassim wale watu wazee tunaofia rap "isiyo ya kukopi" yenye radha ya "rap katuni" tunamuita Sir Juma Nature Kiroboto "Mwanaume Halisi'

Kijana huyu ana historia nzito sa a kwenye game ya rap hapa Bongo. Mkuu wenu sijaja kutoa historia yake,nimekuja na Top Five ya Nature ambayo binafsi huwa nikisikiliza tracks hizi moyo wangu husuuzika katika kiwango cha juu sana.

1.Hili Game (Zote ft TID/Mr.Paul
2.Radhia ft Doro
3.Mzee wa Busara ft Inspector Haroon
4.Mtoto Idi
5.Ubinadamu Kazi

Bonus
1. Shemeji
2.Jinsi Kijana
3.Mgambo
Soniaaaaaa......mi nakupendaaaa....njoo tuliaaaa....tupeane d......ndaaa.

2001 hiyoo.
 
Anaitwa Juma Kassim wale watu wazee tunaofia rap "isiyo ya kukopi" yenye radha ya "rap katuni" tunamuita Sir Juma Nature Kiroboto "Mwanaume Halisi'

Kijana huyu ana historia nzito sa a kwenye game ya rap hapa Bongo. Mkuu wenu sijaja kutoa historia yake,nimekuja na Top Five ya Nature ambayo binafsi huwa nikisikiliza tracks hizi moyo wangu husuuzika katika kiwango cha juu sana.

1.Hili Game (Zote ft TID/Mr.Paul
2.Radhia ft Doro
3.Mzee wa Busara ft Inspector Haroon
4.Mtoto Idi
5.Ubinadamu Kazi

Bonus
1. Shemeji
2.Jinsi Kijana
3.Mgambo
Kijana naona umeanza kumsikiliza nature 2015 ukimlingalisha na diamond
 
Kwenye Hili gemu Nature hakumshirikisha mtu bhana, aligonga verses na chorus mwenyewe.

Ungeuliza mpwa ukapewa jibu,kuna sauti ya TID kwenye chorus ya Hili Game jaribu kuisikiliza vizuri ila jua kuna sauti ya Mnyama ile sauti ya dhahabu unayoisikia kwa nyuma.
 
Sinta alimchanganya............Ooooooh anasoma pale TSJ mara sitaki Demu Mara sijui nini......Mapenzi Hatareeeeeee..................!!!!
 
...semeni yote ila hakunaga Nature kama yule wa kwenye Mtulize wa Mabaga Fresh!
 
Acha uongo wewe.
Radhia sio wimbo wa Nature. Ni wimbo wa Dolo.
Ungesoma elimu ya Upadri ungekua una akili ya kufanya utafiti before you post anything here.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Povu la nini sasa?
 
Sir Juma Kasim Kiroboto, Mzee wa Busara Remix feat Inspector Haroun...salute sana
 
Achana na ile kitu sitaki demu ilikuwa balaa.

Ile ngoma ndio ilibeba albam nzima ya ugali...

Ila huyu jamaa kwenye ngoma 8 bora za Juma hakuna wimbo wowote kutoka kwenye Albam iliyoweka record ya kujaza watu diamond Jubilee siku ya uzinduzi wake.

Nahisi kaadithiwa hakuwepo mjini enzi zile.
Itakuwa ameletwa na chuo hapa mjini
 
Back
Top Bottom