Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ukiwauliza Mamlaka wanasema ..wakapak wapi malori. Chumbani😀😀
Export inapumulia mashine na importation bado hatujajipanga ndio maana kila siku zinaongezeka bandari kavu mpya.Kuongezeka kwa makontena port ya Dar ni indicator ya DP world kufanya vizuri
Yah ilitakuwa iwepo njia ya sgr na barabara inayo jitegemea kwenda kwala TU,Export inapumulia mashine na importation bado hatujajipanga ndio maana kila siku zinaongezeka bandari kavu mpya.
Shida siasaYah ilitakuwa iwepo njia ya sgr na barabara inayo jitegemea kwenda kwala TU,
Waliotaka kujenga bagamoyo Port walikuwa sahihi in terms of kuhudumu na kuhimili makontena.