Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Juma Nature ni miongoni mwa wasanii wajinga wasiokuwa na maono ya mbali. Hopeless kabisa Nature
cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!
Juma Nature ni miongoni mwa wasanii wajinga wasiokuwa na maono ya mbali. Hopeless kabisa Nature
cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!
Akili za kushikiwa zina shida sana. Kama kweli jambo jepesi kama hili linahitaji upigwe darasa basi tena!!!umewaza kwa masaburi hujajua kuwa unamtukana jamaa mwenye kipaji namjamaa wa ukweli
umewaza kwa masaburi hujajua kuwa unamtukana jamaa mwenye kipaji namjamaa wa ukweli
Wewe kipaji unakipimaje mkuu? Embu nambie katika nyimbo zote alizoimba na muda alokuwa kwenye gemu ana mafanikio yapi yakuongelea angalau
wewe kipaji unakipimaje mkuu? Embu nambie katika nyimbo zote alizoimba na muda alokuwa kwenye gemu ana mafanikio yapi yakuongelea angalau
aisee huyu ni msanii mjinga sana tena sana.Leo kwenye xxl nature ametangaza kuanzisha biashara ya ndala ii inakuja baada ya kutimuliwa na EATV baada ya kuja studio akiwa amelewa uku kavaa ndala...my take juma nature aishukur EATV kwa kumtimua hadi akapata Idea ii..wasanii wa bongo badilikeni nyie ni kioo cha jamii
umewaza kwa masaburi hujajua kuwa unamtukana jamaa mwenye kipaji namjamaa wa ukweli
Nature mzee wa ugali, kweli anapendwa, ila apunguze pombe na usimple kidogoo mwenzake chege yuko scandinavia kwa shoo . Akubali kubadilika kidogo atafikia kiwango cha kimataifa kama chege et al
hata kama ana kipaji kujiheshimu na kuheshimu wengine ni muhimu sana huwezi kwenda kwenye interview na ndala tena kwenye television na huku umelewa hadi unashindwa kuongea
Nature ni mjinga sana ana takiwa kubadilika
Mara zote nmekuwa nikisema kuwa hawa wasanii tunawapoteza sisi washabiki kwa kushindwa kuwaambia ukweli instead we beat around da bush. Juma nature ni msanii mwenye kipaji ambacho mpaka sasa narudia tena mpaka sana hakuna aliekifikia ktk bongo fleva kwa maana ya sauti(vocal),chord,mashairi(idea)style nk kubali usikubali. Zaid Nature anapendwa na sababu ni vle alivyo simple. Nature anakula popote na chochote iwe mihogo au kwa mamantilie.Nature hampiti mtu bila kumsalimia iwe anakuju
umenena vema sana washabiki wana changia sana kumpoteZa Nature maana hawamwambii ukweli kuwa ana takiwa kubadilika na hao wanao mshangilia watakuja kumgeuka; mimi ni shabiki wa nature lakini nature ana katisha tamaa kabisa!