Mara zote nmekuwa nikisema kuwa hawa wasanii tunawapoteza sisi washabiki kwa kushindwa kuwaambia ukweli instead we beat around da bush. Juma nature ni msanii mwenye kipaji ambacho mpaka sasa narudia tena mpaka sana hakuna aliekifikia ktk bongo fleva kwa maana ya sauti(vocal),chord,mashairi(idea)style nk kubali usikubali. Zaid Nature anapendwa na sababu ni vle alivyo simple. Nature anakula popote na chochote iwe mihogo au kwa mamantilie.Nature hampiti mtu bila kumsalimia iwe anakuju
umenena vema sana washabiki wana changia sana kumpoteZa Nature maana hawamwambii ukweli kuwa ana takiwa kubadilika na hao wanao mshangilia watakuja kumgeuka; mimi ni shabiki wa nature lakini nature ana katisha tamaa kabisa!