Juma nature na ndala

Juma nature na ndala

Kuna kitu kinaitwa UTASHI, kipaji kikikosa utashi bado ni tatizo, Utashi ukikosekana ndio matokeo ya kuona binadam anfanya mambo tofauti na matarajio, kushindwa kujua wapi ufanye nini , muda gani na kwa nini. Utashi ndio unatutofautisha sisi binadam na wanyama.

hakika!
 
nature vipi ile benzi lake bado analo
 
cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!

nime ipendaje hi
you make my day.
 
Ingekuwa ametimuliwa na Clouds tv sijui habari zingekuwaje?!
 
aisee huyu ni msanii mjinga sana tena sana.
kwa mtu ambaye hakuangalia interview yake na sam anaweza asielewe kwa nini nature ni mjinga.
Nature ana shindwa kujua ustaarabu na usafi ni muhimu kwa kila binadamu na isitioshe yeye ni kioo cha jamii.

yani mtu ana kwenda kwenye interview tena kwenye tv amelewa hadi anaongea kisicho eleweka.



Yaani sikuile alinitia kichefuchefu na kufanya nimdharau,aliishia kuongea kimsemo chake "KUCHOMA MUHINDI KWA TOCHI" duuh
 
Back
Top Bottom