Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mm nimeshtuka zaidi yako..Mimi nina miaka 33 kipindi namuona juma nature alikuwa braza wakunizidi miaka zaidi ya 15
Hata mimi nature kaanza kuimba namsikia niko primary zaidi ya miaka 18 ago.Mimi nina miaka 33 kipindi namuona juma nature alikuwa braza wakunizidi miaka zaidi ya 15
Na hapo walipunguza umri ndio maana hata tarehe hawajaandika, nature ni wa 1976
Hii inaitwa "mbuzi kala koti"Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?