Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.

My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?

Miaka 37 maana yake alizaliwa 1986,...Juma Nature ameanza kutamba na kusikika kama sijakosea sana kuanzia mwaka 2000 hivi,... inamaana alienda kurekodi kwa Majani akiwa na miaka 14 au 15 au 16?! Kwa Majani huyu huyu alomzaba vibao afande Sele?! Napenda sana ngoma zake na style yake ya rap katuni lakini huu uongo ungeishia kwenye miaka 40 ningemwelewa lakini kwa 37 hapana hii ni kamba ya katani kabsa
 
Kweli nimeamini hakuna anayependa Uzee yaani hadi Nature anaukwepa Uzee 🙌

Wanasema kama hujashiba kwenye sahani huwezi kushiba kwenye sufuria
Uzee ni karama...

Uzee ni mibaraka... (maana si wote hupata bahati ya kuufikia!)

Na haukwepeki.....

By da way....

➡️➡️➡️ Kuzeeka ni wajibu ila kuchakaa ni uzembe wako 😁😁😁🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Uzee ni karama...

Uzee ni mibaraka... (maana si wote hupata bahati ya kuufikia!)

Na haukwepeki.....

By da way....

➡️➡️➡️ Kuzeeka ni wajibu ila kuchakaa ni uzembe wako 😁😁😁🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
Hakika Mkuu

Kila kiumbe hai huzeeka, wakiwemo Binadamu.

Ingawa wengine ndiyo huamua kutumia gharama kubadili muonekano waendelee kuwa na Muonekano wa Ujana.
 
Huyu au yupi?
Screenshot_20230613-165615_Chrome.jpg
 
👆👆👆 Babu yako analijua hili!?
Cc: Shimba ya Buyenze
Niwache!

Umem-manipyuleti mjukuu wangu. Eti aunge undugu na wewe. Ili iweje?

Mjukuu ni nini hiki ninachokisoma hapa. Huyu mharibifu uunge naye undugu ili iweje? Unataka tukutenge? 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
 
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.

My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?

Nature ni my brother, haiwezekani mimi dogo nimzidi umri brother
 
Back
Top Bottom