Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

Unachoongea ni Kweli. KR alisema ameisho kota. Nature kama sio 1980 itakuwa 81.
 
Hivi kwa nini wabongo hawapendi kuonekana wana umri mkubwa?hivi kuwa mkubwa ni dhambi kwa hapa bongo?
Huyu nature nimeanza kumsikia na kumuona kwa TV toka niko primary school na yeye alikua ni mkaka wa above 20+years.leo mimi nina miaka 35 afu nature ana 37?
Maajabu ya Musa haya.
 
Ubaya nayo google huwa haidanganyi
 

Attachments

  • Screenshot_20240906_220802.jpg
    323.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…