Msanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....Kila singeli utasikia: eeh baba eeeh baba eeeeeeh baba!
Mziki wa hovyo kabisa huu, naupa miezi miwili iliyobaki sidhani kama utafika mwaka mpya huu mziki, kila singeli beats zile zile isipokuwa lyrics tu, na lyrics zenyewe eeeh baba eeeh baba, mara shemeji na uhuni mtupu! Upuuzi kabisa!
By the way, msaga sumu haimbi singeli ndo maana ataendelea kuwapo.
Msaga sumu anaimba mchiriku/ mnanda, au tuseme kina Man fongo wanaimba "modernized songeli", msaga sumu ANAIMBA, "harap" kama kina sholo mwamba, man fongo etc!Msanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....
Zpo nyingi sana lkn ttz hazipewi promo kusikika labda sabb zinapendwa na vijana wa uswazhivi tangu hainaga ushemeji kuna wimbi mwingine tena wa singeli au ndo huohuo mmoja
I said it way before that it was just a passing fad.
Glad to see others who share that viewpoint as well.
Na hauwezi kupotea sabb wapenz wa hii kitu ni vijana wa uswaz tena wa kwenye macamps na vijana wote wanasapotiana..na mikesha sana ttz hazipewi promo sana wengi washajijengea ni mzk wa wahuniMwaka juzi nami nilifikiri hivyo lakini kwa sasa hapana. Huu mziki upo na una nguvu sana
Msaga sumu minanda hukoMsanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....
HahahahaMziki wa mabaharia huu..........wapi 'diaspora'.
imesha kufa.Mpitoo!?!?ngoja tusubri tuone.time will tell.
This is what most of parents said about hiphop enzi tunakuwaI said before singeli belongs to hood and low IQ fellaz
Tulikuwa tukichana tunaambiwa tunafoka foka kumbe ndo hiphop yenyeweSingeli kwanza sio mziki ni makelele tu ya wahuni asante juma nature
Hatuzungumzii fursa au masuala ya pesa hayo mambo yapo tu...Yeye anauona ni muziki wa kihuni lakini vijana wenzie wameiona fursa wameanza kuitumia na wanapiga mpunga manfongo toka fiesta imeanza mbaka inaisha atakuwa kaingiza si chini ya milioni 20 sio pesa ndogo na akizidi kujitahidi ataingiza pesa nyingi zaidi wakati huo Nature amekaa kijiweni anawaponda!
-Nyerere-
ok kumbe ni muziki wa temeke na kinondoni tu basi sawaEndeleeni kuota tu...
Kuiua singeli ni LAZIMA uiue Temeke na Kinondoni kwanza(haiwezekani)..!
Ukiweza kufanya hilo(haiwezekani) basi SINGELI itabaki kuwa HISTORY tu(haiwezekani)..!
[HASHTAG]#LongLiveSINGELI[/HASHTAG]..!!!
Mikesha ya nini?Na hauwezi kupotea sabb wapenz wa hii kitu ni vijana wa uswaz tena wa kwenye macamps na vijana wote wanasapotiana..na mikesha sana ttz hazipewi promo sana wengi washajijengea ni mzk wa wahuni
Unauliza HERENI sikioni..!?ok kumbe ni muziki wa temeke na kinondoni tu basi sawa