Juma Nature:Singeli ni muziki wa kihuni.

Juma Nature:Singeli ni muziki wa kihuni.

Huu ni mziki wa watu waliokimbia shule.
 
Kila singeli utasikia: eeh baba eeeh baba eeeeeeh baba!
Mziki wa hovyo kabisa huu, naupa miezi miwili iliyobaki sidhani kama utafika mwaka mpya huu mziki, kila singeli beats zile zile isipokuwa lyrics tu, na lyrics zenyewe eeeh baba eeeh baba, mara shemeji na uhuni mtupu! Upuuzi kabisa!
By the way, msaga sumu haimbi singeli ndo maana ataendelea kuwapo.
Msanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....
 
Msanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....
Msaga sumu anaimba mchiriku/ mnanda, au tuseme kina Man fongo wanaimba "modernized songeli", msaga sumu ANAIMBA, "harap" kama kina sholo mwamba, man fongo etc!
 
hivi tangu hainaga ushemeji kuna wimbi mwingine tena wa singeli au ndo huohuo mmoja
Zpo nyingi sana lkn ttz hazipewi promo kusikika labda sabb zinapendwa na vijana wa uswaz

Ungekuwa unakaa kigogo,goms,kino,tandale,manzese nk ungesikia kila muda zikipigwa na mikesha lkn tangia kova apige marufuku usku zimepungua mikesha
 
Mwaka juzi nami nilifikiri hivyo lakini kwa sasa hapana. Huu mziki upo na una nguvu sana
Na hauwezi kupotea sabb wapenz wa hii kitu ni vijana wa uswaz tena wa kwenye macamps na vijana wote wanasapotiana..na mikesha sana ttz hazipewi promo sana wengi washajijengea ni mzk wa wahuni
 
Msanga sumu ndio anasema kaanzisha singeli na kuipigania kwenye vigodoro wewe huku unasema aimbi singeli....
Msaga sumu minanda huko

Waasisi wa singeli Dogo niga simela mtoto wa kigogo,halafu akina sholo

Msaga kwa vigodoro sawa ni mkongwe lkn singeli no.
 
Sidhani kama ni kweli utakufa. Wasanii wa singeli watapotea ila sio muziki. Waacheni vijana wakamatie fursa. So long as uswazi ipo, singeli itakuwepo
 
Ni hatari sana kuona vijana ambao ndio taifa la Kesho wanavutiwa na muziki wa SINGELI!
 
singeli inamashabiki wake special. haiwezi kufa. zile kelele ndiyo raha yenyewe
 
Radio ya wahuni ndo wanaipa promo...........
 
Yeye anauona ni muziki wa kihuni lakini vijana wenzie wameiona fursa wameanza kuitumia na wanapiga mpunga manfongo toka fiesta imeanza mbaka inaisha atakuwa kaingiza si chini ya milioni 20 sio pesa ndogo na akizidi kujitahidi ataingiza pesa nyingi zaidi wakati huo Nature amekaa kijiweni anawaponda!

-Nyerere-
Hatuzungumzii fursa au masuala ya pesa hayo mambo yapo tu...
Kinachojadiliwa hapa ni kudumu kwa aina hiyo ya muziki
 
Endeleeni kuota tu...
Kuiua singeli ni LAZIMA uiue Temeke na Kinondoni kwanza(haiwezekani)..!
Ukiweza kufanya hilo(haiwezekani) basi SINGELI itabaki kuwa HISTORY tu(haiwezekani)..!
[HASHTAG]#LongLiveSINGELI[/HASHTAG]..!!!
ok kumbe ni muziki wa temeke na kinondoni tu basi sawa
 
Na hauwezi kupotea sabb wapenz wa hii kitu ni vijana wa uswaz tena wa kwenye macamps na vijana wote wanasapotiana..na mikesha sana ttz hazipewi promo sana wengi washajijengea ni mzk wa wahuni
Mikesha ya nini?
 
ok kumbe ni muziki wa temeke na kinondoni tu basi sawa
Unauliza HERENI sikioni..!?
Binafsi sikutarajia hata siku moja kuona SINGELI inapigwa kwenye radio au vituo mbalimbali vya tv..!
SINGELI ni muziki wa USWAZI na itabaki kuwa hivyo..!
 
Back
Top Bottom