Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Huna ujualo, Huna utakachofunguka, mzee Yule alikuwa an mwanafunzi wake aliyeishi nae an kumpa ufundi kwa miaka 34, humjui

Mzee Yule ana mwanafunzi wake yupo Dodoma eneo linaitwa Majengo humjui

Mzee Yule alikuwa na marafiki zake kina Sebastian Kinyondo, Gama, Mussa Kwikima

Wakuu wa mikoa waliridhika kumwita baba, viongozi wa nchi walimtembelea kwa uficho. Huna unalojua.
Hahaha utapeli wa kitoto kweli ..wadanganye wasojua ..so unataka watu wakufuate pm ili uwapeleke kwa hao Fake Apprentices of Juma Njemba!!! Kuweni macho msije tapeliwa..Naona ume hijack Uzi ili utafute wateja..Msidanganywe wakuu Juma Njemba alishakufa na mrithi wake alikufa mwaka 2001..
 
Nagundua kuwa Likud Kama kwenu Kigoma basi hukukulia Kigoma
Acha ujinga..huwezi muibia MTU kwa staili hiyo..Jf is the Home Of the GT..
Nimeleta Uzi watu wasome wajifunze wewe unakuja kutangaza biashara za makanjanja wenzako..Aisee acha ujinga wewe jamaa

Once again Juma Njemba is dead na.mrithi wake alikufa pia ...
 
Back
Top Bottom