Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Acha ubishi we...Huu nao ni aina ya uongo mkubwa. Alikuwa hadi Bure akiwatumikia watu, na Zaidi wakileta pungufu huwasamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubishi we...Huu nao ni aina ya uongo mkubwa. Alikuwa hadi Bure akiwatumikia watu, na Zaidi wakileta pungufu huwasamehe
Nimecheka sana Mkuu kwa statement yako [emoji13] [emoji13]Nimesikia sana history za huyu Mshirikina na aliyekuwa akijifanya Mungu mtu. Mwenyezimungu amzidishie marungu huko alipo.
Hahaha utapeli wa kitoto kweli ..wadanganye wasojua ..so unataka watu wakufuate pm ili uwapeleke kwa hao Fake Apprentices of Juma Njemba!!! Kuweni macho msije tapeliwa..Naona ume hijack Uzi ili utafute wateja..Msidanganywe wakuu Juma Njemba alishakufa na mrithi wake alikufa mwaka 2001..Huna ujualo, Huna utakachofunguka, mzee Yule alikuwa an mwanafunzi wake aliyeishi nae an kumpa ufundi kwa miaka 34, humjui
Mzee Yule ana mwanafunzi wake yupo Dodoma eneo linaitwa Majengo humjui
Mzee Yule alikuwa na marafiki zake kina Sebastian Kinyondo, Gama, Mussa Kwikima
Wakuu wa mikoa waliridhika kumwita baba, viongozi wa nchi walimtembelea kwa uficho. Huna unalojua.
Nawe subiri yako, bado unaishi....muhimu okokaNimecheka sana Mkuu kwa statement yako [emoji13] [emoji13]
Mimi ni mweledi wa kinachozungumzwa hapa, najua ambayo hamuyajui.Acha ubishi we...
...waha utawaweza kwa ubishi !AbuFizzer na LICUD hebu kaeni mpate muafaka halafu mtuletee uzi ulionyooka. Mi naona mapichapicha tu au mmepanga mabishano ndio style ya uzi
Nagundua kuwa Likud Kama kwenu Kigoma basi hukukulia KigomaWewe ndo hujui lolote mkuu halafu watu wanakuchora tu washajua we msanii....Acha ujinga kujifanya unajuana na " Fake Apprentices " wa huyo baradhuli ili uwakamate wajinga
Acha ujinga..huwezi muibia MTU kwa staili hiyo..Jf is the Home Of the GT..Nagundua kuwa Likud Kama kwenu Kigoma basi hukukulia Kigoma
...Kigoma kumejaa makafiri huko, mnapata idh'ni ya kuishi na kinga kutoka kwa watu !Hatishii Zitto ni mzima, wazee wote walimridhia wakiwemo watoto wa huyu mzee
ila nchowapenda waha sio wachokozi wala waonezi,miaka miwili niliyoishi nao pale kigom niliwakubali sana and made a lot of royal friendsHatishii Zitto ni mzima, wazee wote walimridhia wakiwemo watoto wa huyu mzee
....daah ! Huyu jamaa yako kweli kakaa kitapeli. Kuna kitu anataka kuwaaminisha watu kisha.......!Acha ulaghai ..humtapeli MTU hapa..Hapa Kigoma mwisho wa reli
...Mungu ndo anayajua yaliyomo vifuani mwa watu ! ...umekaa kitapeli tapeli hivii wewe !Mimi ni mweledi wa kinachozungumzwa hapa, najua ambayo hamuyajui.
Mungu awasamehe sana
Huyu ni bint Rukungu aliishi Rubuga Ujiji. Kigoma
Hahahahahahaha umenichekesha sana...Mungu ndo anayajua yaliyomo vifuani mwa watu ! ...umekaa kitapeli tapeli hivii wewe !
Sawa mkuuNawe subiri yako, bado unaishi....muhimu okoka