Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Angalau hata yeye alipata taabu saaana
 
[emoji23] [emoji23] tatizo huyu wa sasa anaogopa hadi kivuli chake
 
Mkuu hivi ile kozi ya uchawi ulishaimaliza ?
 
Pepo ipi sasa
 
Unajuaje labda nayeye kazaliwa miaka hiyo
 
Watoto wake hawakusoma shule mkuu..Kwake ilikuwa ni " boko haramu" ..Walisoma madrasa tu na yeye ndio.alowasomesha Quaran Tukufu
Wewe muongo aseeee

Halafu huyu Abu fiiyza Hakuna aliyemuambia amfuate PM kwanin umpe tuhuma za utapeli?

Unasema watoto wake hawajasoma wakati moja ya watoto ni mwandishi wa habari nenda ujiji kaulize namtaka Mwinyi mbegu njemba yeye atakupa ukweli
Usiwape watu tuhuma kulazimisha uongo

Njemba humfahamu sema umesikia kwa watu
Ukiambiwa moja ya wake zake yuko hai utaamini

Nenda ujiji waulize wakwambie ni nani hasa chief Jumaa Njemba achana na soga za kusikia Mtt wake Mwinyimbegu ni rahimu na maarufu mno Mji ule mtafute akueleze kuhusu babake
 
hahahahaha alikua mtu hatari sana
sintaweza kumsahau mzee njemba kajenga historia kubwa kubwa sana ujiji
tumebakiwa na mzee ruvuli nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…