Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

mbona tajiri na mfanyabiashara dubai sioni jina lake, au yeye alikuwa ni muhamiaji wa kogoma.
 
naanza kuunganisha hapo kwenye ''.. zipo ofisi za ACT MKOA..."


hii thread tamu sana.
 
Yes
 
Ukikiandika utushirikishe wadau tukipate humu humu
 


Hata ungekuwa rafiki wa hiyo familia kwa kiasi gani, bado usingesema kuwa "walikuwa wakileta" ila walikuwa "wakipeleka!"

Katika maandishi yako yote, umekuwa ukiandika kwa kumtukuza na kumsifu tu, swala linaloleta swali ni kwanini hujaandika hata sentensi moja juu ya mapungufu yake given yeye alikuwa mwanadamu aliyeweza kufanya mambo yaliyo beyond!

Katika moja ya maandishi yako humu, ulisema kuwa....baada ya huyo mzee kuugua 'aliwaambia wanae kuwa "angefariki siku ya alhamis iliochelewa" na ukasema alifariki dk chache usku kabla ya ijumaa.
Ningeomba utoe ufafanuzi ni kwanini tarehe ulioisema amafariki haikuwa alhamis, na siku uiliosema alizikwa haikuwa ijumaa?

BTW, ni kuwa woote humu jukwaani tunajua zaidi mazuri ya wazazi wetu, ila the dark part zao zinafahamika sana kwa watu wa nje ya familia zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…