Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani



Sasa kwanini unadhani unafaa tukuamini?
1.Umefail kwny tarehe yake ya kufa na kuzikwa
2. Ulichioweza ni kuleta majina na idadi ya familia ya huyo Juma, ambayo ni ngumu kwa yyte humu ku verify kama usemacho ni kweli.
3. Umejikita only kuongea positive side bila ya angalau kijihusisha na anacho kiongea mleta mada na member wengine humu waliofika kilingeni kwake na kukubaliana na Likud
4. unakanusha tu anachosema Likud basi, yaani kama kuna kitu au jambo hutaki lisimwe
 
Salaam.
Nimeona namie ntie japo ka-uneno.
Kwa kanuni za maumbile ni kawaida mtu mmoja kufahamika kwa watu wengi kuliko yeye kuwafahamu wao wote.
Hivyo,linapokuja suala la kusema juu ya "fulani'',ni wazi kuwa ni wengi watakaokuwa wakiyajua mambo mengi kumhusu be it -vely/+vely.
Pamoja na kuwa uzi huu umeanzishwa moja kwa moja ukilenga the dark side ya huyo mzee tajwa,kufanya hivyo hakufungi malango sisi wasomaji kufunuliwa the opposite side.
Matumizi ya lugha iliyojaa staha ni fani inayoutajirisha uchangiaji wa mtu,hivyo kuepuka kukarahisha. Kwa kuwa kumeshakuwa na 2 sides katika uchangiaji,matumizi ya lugha chafu kama ambavyo imepata kutokea huweza kutafsirika kama dalili ya ku-loose battle.
Nashauri main speakers of both sides kutupatia hivyo wanavyoviita nondo,hiyo minyuko na minyukano yao watakutana pm.
Wa salaam.
 
Mbona wana Kigoma wengi tu humu wameconcur hiyo stori! Acheni kumtetea marehemu mchawi
Majority humu wanakubaliana na story tena kuna member mmoja alisema alikuwa mteja wa huyo mzee, ila walipofika mlango wa tatu akatoroka!

Nachojiuliza why wooote hao wamsingizie?

Lakini cha kujiuliza, ni kwanini aliogopeka sana jambo ambalo hata huyo anayetetea anakiri, kwahiyo kama alikuwa mwema na mtenda haki kiasi hicho, why aogopeke?
 
Kwani Muhammad umewahi kumwona au imehadithiwa tu?Au aliwahi kuzungumza naye?
 
Hawataki uchaw
Hawataki uchawi na ushirikina ea nzee wao uongelewe kwa sababu wanajua madhila yake kaburin!ila hawamsafishi zaidi wanamteketeza tu!
 
Kama hakuwa na power yeyote,aliwezaje kuheshimika sana na kutetea wanyonge kama usemavyo??
 
Wala hamjafanikiwa, stori tumeiamini kama ilivyoletwa, hizo chai zenu kanyweni wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…