Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Lzm atakuwa ujijiUna sh ngapi nikwambie?
Uchawi wa kiafrica si kwa maendeleosiangefanya namna agundue drone tech tungekuwa na kibri duniani kaishia kuua watu na kuoa africa sijui tunalaana gani
Juma Njemba hakuwa wa dunia hii...He was something elseLIKUD nakushukuru kuknikumbusha story ya mzee wangu wa ujiji huyu mzee kwa wafanyabiashara wa mikoa ya Tabora, Mwanza, Kigoma, Shinyanga na wale wa nchi kama Rwanda na Burundi ikiwamo Congo watakumbuka zindiko lake la kupita na magendo bila kuonwa wala kukamatwa na askari na dawa ile ilikua mnapita mnaondoka askari mnawaona wao hawawaoni hata iwe mchana.
Hii kitu ni kweli ? Mimi nilijua ni fasihi imetumika tuLIKUD nakushukuru kuknikumbusha story ya mzee wangu wa ujiji huyu mzee kwa wafanyabiashara wa mikoa ya Tabora, Mwanza, Kigoma, Shinyanga na wale wa nchi kama Rwanda na Burundi ikiwamo Congo watakumbuka zindiko lake la kupita na magendo bila kuonwa wala kukamatwa na askari na dawa ile ilikua mnapita mnaondoka askari mnawaona wao hawawaoni hata iwe mchana.
Ilikuwa ukitaka kuua MTU unaingia NAE kilingeni kwake anafanya vitu vyake yani habari za msiba wa mbaya wako unazipokea ukiwa kilingeni kwake hapo hapoAnajuaje kama ataenda mbinguni au peponi??? But anyway jamaa alifanya mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu kwa kweli.........
Na jamaa naskia kweny kazi yake alikua hapokei hela yako mpka uone matokeo....sasa ww akufanikishie mchongo afu usimlipe....weeeeeeeee anasomba nusu ya ukoo wako
Ni kweli kabisa. Wanaweweseka na kuanza kutaja majina ya watu waliowaua. Sijui huwa wanaona nini. Jamani tumche Mungu huko mbele kuna mambo ya ajabuWachawi huwa wanakufa vifo vya mateso sanaaaa....
Na wengi wao huwa wanaanza kuoza Kwanzaa...
Eeeh dunia ina mengiTupe na za yule Mzee wa kagunga aliekuwa ikifika usiku anatandika mkeka juu ya ziwa Tanganyika anakwenda kulala Burundi.
Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabaselemimi niluwahi kwenda kwa huyo mzee lakini niliogopa kumalizia zindiko la milango saba ya ziwa tanganyika, nikaondoka kwa kutoroka tukiwa mlango wa tatu , nadhani umenikumbusha mbali mno wala hujakosea kitu.
Kwa sababu alikuwa anaua sana watu..Kwake suala la kuua MTU as simple as mvulana wa miaka kumi na saba kupiga puchuAnajuaje kama ataenda mbinguni au peponi??? But anyway jamaa alifanya mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu kwa kweli.........
Na jamaa naskia kweny kazi yake alikua hapokei hela yako mpka uone matokeo....sasa ww akufanikishie mchongo afu usimlipe....weeeeeeeee anasomba nusu ya ukoo wako
Nomaring... mkuu tupe tupe habari za njembaKwa sababu alikuwa anaua sana watu..Kwake suala la kuua MTU as simple as mvulana wa miaka kumi na saba kupiga puchu