Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

LIKUD nakushukuru kuknikumbusha story ya mzee wangu wa ujiji huyu mzee kwa wafanyabiashara wa mikoa ya Tabora, Mwanza, Kigoma, Shinyanga na wale wa nchi kama Rwanda na Burundi ikiwamo Congo watakumbuka zindiko lake la kupita na magendo bila kuonwa wala kukamatwa na askari na dawa ile ilikua mnapita mnaondoka askari mnawaona wao hawawaoni hata iwe mchana.
Juma Njemba hakuwa wa dunia hii...He was something else
 
LIKUD nakushukuru kuknikumbusha story ya mzee wangu wa ujiji huyu mzee kwa wafanyabiashara wa mikoa ya Tabora, Mwanza, Kigoma, Shinyanga na wale wa nchi kama Rwanda na Burundi ikiwamo Congo watakumbuka zindiko lake la kupita na magendo bila kuonwa wala kukamatwa na askari na dawa ile ilikua mnapita mnaondoka askari mnawaona wao hawawaoni hata iwe mchana.
Hii kitu ni kweli ? Mimi nilijua ni fasihi imetumika tu
 
Anajuaje kama ataenda mbinguni au peponi??? But anyway jamaa alifanya mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu kwa kweli.........

Na jamaa naskia kweny kazi yake alikua hapokei hela yako mpka uone matokeo....sasa ww akufanikishie mchongo afu usimlipe....weeeeeeeee anasomba nusu ya ukoo wako
Ilikuwa ukitaka kuua MTU unaingia NAE kilingeni kwake anafanya vitu vyake yani habari za msiba wa mbaya wako unazipokea ukiwa kilingeni kwake hapo hapo
 
mimi niluwahi kwenda kwa huyo mzee lakini niliogopa kumalizia zindiko la milango saba ya ziwa tanganyika, nikaondoka kwa kutoroka tukiwa mlango wa tatu , nadhani umenikumbusha mbali mno wala hujakosea kitu.
Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
 
Anajuaje kama ataenda mbinguni au peponi??? But anyway jamaa alifanya mambo mengi sana yasiyompendeza Mungu kwa kweli.........

Na jamaa naskia kweny kazi yake alikua hapokei hela yako mpka uone matokeo....sasa ww akufanikishie mchongo afu usimlipe....weeeeeeeee anasomba nusu ya ukoo wako
Kwa sababu alikuwa anaua sana watu..Kwake suala la kuua MTU as simple as mvulana wa miaka kumi na saba kupiga puchu
 
Back
Top Bottom