Unajua, hata huyo AbuFizzer, ambaye kwa muktadha huu ni kama mtu mwenye vinasaba na Mzee Njemba, bado siyo wa kumuamini kauli zake kwani yupo hapo alipo kwa ajili ya kutetea tu familia yake. Usitarajie mtu wa hivyo akaongea kauli zitakazo weka uchi member wa familia yake! Ukichukua story zote mbili yaani ya Likud na AbuFizzer ukazichanganya, basi utajua kwa hakikamzee Njemba alikuwa ni mtu wa namna gani, btw hata waliochangia humu na waliomjua huyo mzee wana afiki maelezo ya Likud!
Rais anaweza ahutubie mahali ambapo waandishi wa habari wa magazeti wakawepo pia katika eneo hilo, ila cha kushangaza ni kuwa kesho ukija kuyasoma magazeti yoote utaona story ya alicho kieleza rais haiendani baiana ya magazeti, na ama pengine zisiendane kabisa na vile wewe ulivyo msikia mwenyewe raisi akihutubia! Na maanisha hivi, usimbane mleta mada kwa namna alivyo pata taarifa, ila pia tilia shaka ya huyo anaye tetea kwa kusema alishi mtaaa mmoja na huyo mzee. huku akijiweka wazi kuwa yeye ni member wa familia, na zaidi ni lafudhi yake ni kama yule mwanae mwandishi, ijapo hajui baba yake alikufa na kuzikwa lini