Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

mi nimeomba aya,nachojua ukiabudu mbuyu au kingine ndo unakua sio muislam tena..sasa nataka kujua hapa inakuaje ukiloga unakua sio muislam na ni shirki kivipi
Anaebudu mbuyu hana tofauti na anayempiga ramli au kwa sababu unakipa kiumbe uwezi wa Mungu wa kukuambia yaliyo sirini!

Aya nnazo zipo nyingi tu!zinazoongelesha shirk ni dhambi
 
juma njemba? hahahahahhaa alikuwa na balaa si kitoto, wanao bisha waendelee kubisha, yupo mtalaamu mwingine anatokea mwakizega alikuwa ana balaa si masikhara, yupo binti rukungu. wapo weeengi. kuna mzee mmoja nmesahau jina lake yeye alikuwa akikunyooshea kidole basi nenda kaandike urithi kabisa, alikuwa anakunja vidole vya mikono yake yote, akivinyoosha vyoote ujue watu watano wameondoka, kula yake ilikuwa ndani tu baada ya kujizindua. wapo wale wazee wa mwamgongo na mwambao wa ziwa walikuwa na hatari si kitoto....

si vyema kuyazungumzia haya coz hayajengi
Bila kumsahau Mzee Kitenge Babu yale na Maulid Kitenge,alikuwa ni shida.
 
Anaebudu mbuyu hana tofauti na anayempiga ramli au kwa sababu unakipa kiumbe uwezi wa Mungu wa kukuambia yaliyo sirini!

Aya nnazo zipo nyingi tu!zinazoongelesha shirk ni dhambi
mi nataka mtu akipiga ramli sio muislam..naomba aya ya hvo..kupiga ramli hakufanani na kuabudu mbuyu..kwenye quraan washirikina wanaotajwa sio waislam wanaopiga ramli bali wanaoabudu miungu mbali na nwenyezi mungu
 
Hahaha, Sangoma na IQ?
Dunia hii ina mambo ya ajabu nilipanga nyumba kwenye nyumba ya mama mshirikina balaa binti yake wa darasa la sita ilikuwa mwaka juzi kabla ya mitihani lazima ampeleke kwa mganga. Ukiona watu hawaendelei usifikiri ni utani kuna wanaowaza ushirikina kwenye kila jambo.
 
Hapo umeenda tofauti na nilichouliza.

Swali langu ni je, Sangoma anaweza kukuongezea IQ?
 
Du uko std 2? mtu atampeka mtoto kwa mganga kwa ajili afaulu mitihani kama haamini uchawi unaweza kumuongezea IQ?.

Na wewe kwa akili zako timamu unaamini kwamba mganga anaweza kuongeza IQ ya mtu?

Siwazungumzii wanaoenda huko, nazungungumzia wewe unaamini kwamba mganga anaweza kukuongezea IQ?
 
Back
Top Bottom