Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijaelewaNamjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Kaa na waridi unukie uwaridi,kaa na mwenye Pesa upate akili ya Pesa.Write your reply...@laki si Pesa
kwahiyo hadi Leo uchumi wa Kilimanjaro unavyokua ni wakoloni?
ukiwa na akili kubwa maendeleo yatakuja tu ndio mAana uchagani inaendelea kumeremeta,tukiwakAribisha wakoloni ili watuletee maendeleo nyie mliowakataa mlipAta faida gani? mtaendelea kubaki maskini
hongra wazee wa kichaga kuasisi maendeleo ndio maana hadi Leo Kilimanjaro ni kitovu cha uchumi,ELIMU na maendeleo
shirki inayomuondolea mtu sifa ya kuwa muislam ni ipi!?..naomba aya tafadhaliHakika hatujui mwisho wake kama alitubu au lah ni kama ya kina yahya hussein na jina la usheikh alijitangulizia, lakini aliendesha maisha yake kwa shirk. Shirk ndogo ndogo na kubwa humuondolea mja sifa ya kuwa muislam
mlokole huyo,si unajua akili zao..hapo roho mtakatifu kampanda na ananena kwa lugha mpyaSijaelewa
Au hukutaka tuelewe?
Yaani ktk dhambi zinamuondolea muislam uislam shirk imo tena namba mojashirki inayomuondolea mtu sifa ya kuwa muislam ni ipi!?..naomba aya tafadhali
Naskia eti Ali naali aliwahi kushusha mikono ya ile picha kwenye chupa ya konyagi!Mkuu nakujaa kuandika kitabu cha huyo mtu atakuwa ni miongoni mwa watu watakaokuwepo kwenye chapters ya kitabu changu cha "The Crooks men ever lived in tz"...am comming all the way from Miami ........nina fund ya uandishi nimepata....
kuna kichwa kinaitwa Jombi...mby hiyo....Ali na ali and the like...
Anaezini na anaefanya shiriki,anaezini ana afadhali sana
Na yule bibi mwenye titi moja anayeishi chini ya ziwa tanganyika..Tupe na za yule Mzee wa kagunga aliekuwa ikifika usiku anatandika mkeka juu ya ziwa Tanganyika anakwenda kulala Burundi.
Du ndo maana wanigeria wanaonekana wachawi kwa kutoa siri kwenye movie zao..Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Mboga haionog ɓila chumv..tulia utaharib[emoji16]Stori ni ya kweli, ila wake 200 ni
Chumvi
mi nimeomba aya,nachojua ukiabudu mbuyu au kingine ndo unakua sio muislam tena..sasa nataka kujua hapa inakuaje ukiloga unakua sio muislam na ni shirki kivipiYaani ktk dhambi zinamuondolea muislam uislam shirk imo tena namba moja
Anaezini na anaefanya shiriki,anaezini ana afadhali sana
Hiƴo kawaida kama ƙenya kuna mtu anakula viwemɓe anatafuna kama ɓig g ..anashushia na kandoro ndo menu yake! Fresh yanKaka niamini mm watu wa kigoma sio mchezo niliishi kule 2 yrs nilijionea makubwa nikiwasimuli watu huwa hawaamini mfano kigoma kuna mganga anaweka kinga ya sumu akimaliza kitest unakunywa sumu ya panya uliyonunua mwenyewe ,kwa macho yangu alienisimulia alisaga vioo na kumeza na bia
Unaeza kuta unaishi kwa shemeji alaf unajivunia eti wachaga wana maendeleo wakati wewe unatunza bustani ya shemeji yakoWrite your reply...@laki si Pesa
kwahiyo hadi Leo uchumi wa Kilimanjaro unavyokua ni wakoloni?
ukiwa na akili kubwa maendeleo yatakuja tu ndio mAana uchagani inaendelea kumeremeta,tukiwakAribisha wakoloni ili watuletee maendeleo nyie mliowakataa mlipAta faida gani? mtaendelea kubaki maskini
hongra wazee wa kichaga kuasisi maendeleo ndio maana hadi Leo Kilimanjaro ni kitovu cha uchumi,ELIMU na maendeleo
duh!!Juma Njemba enzi hizo bana. Huyu dogo Abdul Nondo ni miongoni mwa vizalia vya mzee Njemba.... Huwa nawaangalia mnavomsumbua mi nabaki najiseme ihii