Mak Jr
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 442
- 313
Uchawi wa kimachame ni kuwatoa kafara waume zao ili wapate utajiri.Familia nyingi za kimachame wamama ndo matajir tena ni wajane baada ya kuua waume zao.mimi ni mtu wa mikoa nyanda za juu kusini, shughuli zangu ni za kusafiri hapa na pale.
kuna wakati nilibahatika kwenda machame,nilichokiona huko kuhusu maendeleo ya mtu mmoja mmoja kilinifanya niwe nawa admire sana watu wa mkoa wa kilimanjaro na bidii yao ya kutafuta pesa
mwenyeji wangu alinitembeza ili nijionee majumba ya kifahari ya wamachame yaliyojificha kwenye vichaka vya migomba ya ndizi na kunitajia majina ya watu wa koo maarufu za machame zinazomiliki majumba hayo.
kwa siku nilizokaa machame sikusikia kabisa kuhusu hekaya za uchawi,ushirikina au mtu kalogwa.
Hawana time na watu wa pembeni bali ndani ya familia baba na mama hujishughulisha kwa bidii na pale wanapofika ktk utajiri basi mama wakimachame humtanguliza mumewe mbinguni, hubakia wajane na kuanza kwenda kununua wanaume uko nchini Kenya.