Walioshangilia kifo chake ni watu waovu waliokuwa wanashughulikiwa na Njemba......Mwaka 2002 wakati nachimba madini ya dhahabu Kigoma Karenge wachimbaji wengi sana walisaidiwa na Njemba....Wachawi wote walikuwa wanamuogopa sana Njemba
Swali la 1. Hata mie nasubiri majib yake baba faiza.
2. Hili swala lingemalizika kama wale wanaomjua wangeleta pia list ya majina ya wake zake pamoja na watoto.
Likud kasema idadi ya wake walikuwa 200 lakini sijaona sehemu angalau ametaja wake zake 10 tuu kwa majina yao (nilitegemea ningeona listi sababu hili swala alilifanyia utafiti zaidi)
3. Watu wanaomjua humu na wanaosema wameenda kwenye kilinge chake kusaka tiba pia wameshindwa kusema mazingira ya kilinge kama alivyohitaji baba faiza(AbuFizzer)
4. Nafikiri Likud akimalizia sehemu iliyobaki tutapata mwanga
Mwaka huo upi??Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.
Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Naomba kukuuliza maswali machacheLabda alitibiwa na Juma Njemba fake.. Hata wewe ukitaka mkuu nenda Korogwe Leo kaseme unataka kuonana na majimarefu..utaonana nae na utahudumiwa vizuri tu
Hapa sasa itabidi laki si pesa. aje atuambie alikuwa na uhakika gani kwamba aliefanya matukio hayo ni Njemba halisi?Labda alitibiwa na Juma Njemba fake.. Hata wewe ukitaka mkuu nenda Korogwe Leo kaseme unataka kuonana na majimarefu..utaonana nae na utahudumiwa vizuri tu
Kuna tofauti mkubwa sana kati ya 'mademu' na 'wake'Mi mwenyewe nimeanza kugonga mademu mwaka 2000 ..Up to this time wanazidi mia tano.Ninaowakumbuka majina hawafiki kumi... Kwa mwaka nilikiwa nagonga wastani wa mademu 30 mpaka 40.. Seuze MTU kama.Juma Njemba ambae wanawake walikuwa wanamfuata wenyewe tena burebure.
Naomba kukuuliza maswali machache
1. Unajua ilmu kitabu?
2. Vyanzo vyako vya ukusanyaji wa taarifa hizi vilikuwa vipi? Wanafamilia, jamaa na marafiki?? Au mapokeo ya watu wengine??
3. Umeshawahi kufika ilipo nyumba ya Njemba? KILINGENI HASWA
4. Ulitumia muda gani kukusanya taarifa hizi na ilikuwa ni mwaka gani unakusanya taarifa hizi?
5. Kuna swala la kutopeleka watoto shule lakini imekuja taarifa kwamba wako waliopelekwa shule hata kufika elimu za juu na sekondari. Mfano ametajwa mwandishi wa habari.
Je bado msimamo wako unabaki kwamba hakupeleka watoto shule zaidi ya madrasa tuu??
6. Watoto wake walikuwa wanasoma madrasa za watu wengine au Mzee Njemba alikuwa anawafundisha mwenyewe??
Je kama alikuwa anawafundisha mwenyewe wanafunzi wa watu wengine walkuwa wanaruhusiwa kuja kufundishwa hapo madrasa?
DuuuhExactly !Hata Juma Njemba alioza
Unajua, hata huyo AbuFizzer, ambaye kwa muktadha huu ni kama mtu mwenye vinasaba na Mzee Njemba, bado siyo wa kumuamini kauli zake kwani yupo hapo alipo kwa ajili ya kutetea tu familia yake. Usitarajie mtu wa hivyo akaongea kauli zitakazo weka uchi member wa familia yake! Ukichukua story zote mbili yaani ya Likud na AbuFizzer ukazichanganya, basi utajua kwa hakikamzee Njemba alikuwa ni mtu wa namna gani, btw hata waliochangia humu na waliomjua huyo mzee wana afiki maelezo ya Likud!
Rais anaweza ahutubie mahali ambapo waandishi wa habari wa magazeti wakawepo pia katika eneo hilo, ila cha kushangaza ni kuwa kesho ukija kuyasoma magazeti yoote utaona story ya alicho kieleza rais haiendani baiana ya magazeti, na ama pengine zisiendane kabisa na vile wewe ulivyo msikia mwenyewe raisi akihutubia! Na maanisha hivi, usimbane mleta mada kwa namna alivyo pata taarifa, ila pia tilia shaka ya huyo anaye tetea kwa kusema alishi mtaaa mmoja na huyo mzee. huku akijiweka wazi kuwa yeye ni member wa familia, na zaidi ni lafudhi yake ni kama yule mwanae mwandishi, ijapo hajui baba yake alikufa na kuzikwa lini
Kwahiyo kupiga ramli kiislam sio kosa kwa Mungu?mi nataka mtu akipiga ramli sio muislam..naomba aya ya hvo..kupiga ramli hakufanani na kuabudu mbuyu..kwenye quraan washirikina wanaotajwa sio waislam wanaopiga ramli bali wanaoabudu miungu mbali na nwenyezi mungu
ni kosa..ila kumtoa mtu uislam ni jambo jingineKwahiyo kupiga ramli kiislam sio kosa kwa Mungu?
Sawa mke wa njemba tumekuelewaMMH
UNAJARIBU KUFICHA UKWELI LAKINI BABA YAKO NJEMBA ALIKUWA MCHAWI MGANGA NA ALIUA WATU. AWE AMEUA KWA MATAKWA YA MTEJA AU KAMA SEHEMU YA MATIBABU LAKINI NI MUUAJI TU.
HAKUNA MGANGA WA JADI ASIYEKUWA MCHAWI, UNAFUNZWA UCHAWI ALAFU NDO UGANGA.
LAKINI KUKUBALI KWAMBA U MCHAWI HUWEZI MAANA NI AIBU
Wote wamesikia kijiweni usitegemee kupata majibu sahihiSwali la 1. Hata mie nasubiri majib yake baba faiza.
2. Hili swala lingemalizika kama wale wanaomjua wangeleta pia list ya majina ya wake zake pamoja na watoto.
Likud kasema idadi ya wake walikuwa 200 lakini sijaona sehemu angalau ametaja wake zake 10 tuu kwa majina yao (nilitegemea ningeona listi sababu hili swala alilifanyia utafiti zaidi)
3. Watu wanaomjua humu na wanaosema wameenda kwenye kilinge chake kusaka tiba pia wameshindwa kusema mazingira ya kilinge kama alivyohitaji baba faiza(AbuFizzer)
4. Nafikiri Likud akimalizia sehemu iliyobaki tutapata mwanga
Hii stories ina ukweli kiasi na uongo kiasi na ndo maana mleta mada ameshindwa iendeleza baada ya watu kuja kumwelekeza na kumtetea mtu wao. Mleta mada kuna mambo amedanganya so amekatishwa tamaa ataendelea vipi kudanganya umma zaidi.[/QUOTE
Mkuu we sema nishushe nondo tu ..nondo zipo nyingi sana nikipata muda wa kutosha ntarejea kuzishusha na kujibu maswali yenu yote
Nimeongea na Bibi yangu mzaa mama ambae anamfahamu juma vizur sana ameniambia juma amekufa yeye akiwa kishahamia Dar!Hapa sasa itabidi laki si pesa. aje atuambie alikuwa na uhakika gani kwamba aliefanya matukio hayo ni Njemba halisi?
Mkuu si unajua watu wakizeeka huwa wanashambuliwa na maradhi ya kupoteza kumbukumbu? Kitaalamu inaitwa AlzheimerNimeongea na Bibi yangu mzaa mama ambae anamfahamu juma vizur sana ameniambia juma amekufa yeye akiwa kishahamia Dar!
Bibi kahamia dar toka mwaka 2002.
Hapo LIKUID
Sent using Jamii Forums mobile app
ningekubali kuwa mkewe amtungue tu yule mtu pale tuishi kwa amaniNatamani angekuwepo wakati wa leo.
Zigo hilo litakuwa lilikuwa zito sana kulibeba bora kajifia mapemaWatoto wengi sana ..Mkoba akirithishwa mjukuu wake ( Marehemu Said ) Alikufa wiki moja baada ya arobaini ya babu yake