Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Kwa tulioishi kigoma historia ya huyu bwana tunaijua alikuwa mtu hatari sana.....
wewe leta taarifa hatutaki maswali haya taarifa nyingine kama hizi ni nyet huwezi pewa hovyo udadisi wako
 
iseeeeeeeee ww noma lakini hiyo habari umeipata wapi na watoto wa huyo bwana hawakurithi nmikoba kweli???????????????????????????????
 
Nilipofika Kigoma; story zake nilizipata.
Aliogopwa zaidi ya baba wa taifa.
Mtoa mada tiririka tuzijue zaidi.
Dah huyu jamaa alikuwa ni mtu hatari sana kigoma ujiji
Watu wanaishi maisha yao yote hawajawahi kufanyiwa full checkup hata moja.

Siku wakianguka na kufa kwa sababu wana minyoo imewapanda mpaka kichwani, mnasema uchawi!
al wataan kiranga jamani una mambo weye, kwa hiyo uchawi hamna sio
 
Jombi alikua hatar sana pia kuna kichwa chengine cha mby kina itwa abel.. piga sana nondo watu akabaka mama ake... mama ake alikua ana uza mandazi.. kuna siku alikunya kwenye kile kikando cha mandazi na kumwambia apike ivo ivo... alikua akifanya tukio ana andika ABEL KAPITA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huyo Abel alikuwa hatari sana enhe ikawaje?
 
Duh huyo Abel alikuwa hatari sana enhe ikawaje?
Ali pigwa risasi na yule alie kuwaga kiongozi wa polisi tanzania yule anae fanana na shetta kipindi icho alikua mkuu wa polis mbeya.... ina semekana yule mzee nayeye sio mzembe kwenye mambo ya kitaalamu... maana uyo abel ali shindikana alikua na mazindiko sio mchezo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi Fanya kazi hiyo kizembe ni hatari sana..I mean kazi ya huyo wa kufanana na shetta
 
Huwezi Fanya kazi hiyo kizembe ni hatari sana..I mean kazi ya huyo wa kufanana na shetta
Hahahaha yule mzeee alikua ana itwa nani sijui jina lake nalisahau... lakin story ya uyo jombi ndo kiboko zaidi.... na kuna mkongo mmoja aliwai ibiwa mafuta aka uliza walio muibia mafuta watu wana uchuna... aiseee alicho kifanya ni hatar... mafuta ali ibiwa jumanne basi ikawa kila jumanne wale walio muibia wana kufa... walikufa adi walio ona... io nayo ili tokea mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Dar umewahi kutokea Ubungo & kimara ..Kuna matrafiki walidhulumu pesa za mpemba mmoja hivi alikuwa anatoa mzigo Mbeya anauleta Dar..Trafiki wa mwisho aamezikwa mwaka huu mwezi wa nne
 
Ur comment is so much in touch with ur feminine side..Yani haina tofauti na meseji za wale michepuko wanao ombaga watumiwe na hela ya kutokea..umemtumia laki tatu halafu anakutumia text " baby mbona hujatuma na hela ya kutolea?".
sorry km nimekukwaza mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…