Naomba kukuuliza maswali machache
1. Unajua ilmu kitabu?
2. Vyanzo vyako vya ukusanyaji wa taarifa hizi vilikuwa vipi? Wanafamilia, jamaa na marafiki?? Au mapokeo ya watu wengine??
3. Umeshawahi kufika ilipo nyumba ya Njemba? KILINGENI HASWA
4. Ulitumia muda gani kukusanya taarifa hizi na ilikuwa ni mwaka gani unakusanya taarifa hizi?
5. Kuna swala la kutopeleka watoto shule lakini imekuja taarifa kwamba wako waliopelekwa shule hata kufika elimu za juu na sekondari. Mfano ametajwa mwandishi wa habari.
Je bado msimamo wako unabaki kwamba hakupeleka watoto shule zaidi ya madrasa tuu??
6. Watoto wake walikuwa wanasoma madrasa za watu wengine au Mzee Njemba alikuwa anawafundisha mwenyewe??
Je kama alikuwa anawafundisha mwenyewe wanafunzi wa watu wengine walkuwa wanaruhusiwa kuja kufundishwa hapo madrasa?