Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Hatukatai kufanya kazi. Kila tajiri unayemuina anaupande wake wapili hawezi kukwambia... haya mambo ya mvuto wa kibiashara kazi kutoa mikosi unaweza ukakuta ww unapangana kila cku ila v2 haviendMganga wa kusaidia na kupata utajiri ni KUFANYA KAZI
Ungetuombea clip mzee picha haitembeiAngalau kapicha basi, akipita sokoni...
Duuh Asee Yupo katanga Sehem gan mkuuNenda katanga kuna bibi ni fundi sana jina limenitoka ila kunawatu wanatoka had nje ya nchi kumfuata
Yuko huku mwanzoni kama unatokea njia ya kibondo ila ukifika hata katanga center ukiuulizia ntafuta mganga mbb anaish karibia na mtoni wanaweza kukupelekaDuuh Asee Yupo katanga Sehem gan mkuu
Shukran Mkuu Naiman yupo frxh Wala sio tapeliYuko huku mwanzoni kama unatokea njia ya kibondo ila ukifika hata katanga center ukiuulizia ntafuta mganga mbb anaish karibia na mtoni wanaweza kukupeleka
Mkuu yakuna mganga tapeli anayeishi kijijini... cjui km umeshawahi kufika katanga au bukiriro ni vjjn kweli na uzur wavijiji ukisema ww mganga lzma wapime nguvu zako... hShukran Mkuu Naiman yupo frxh Wala sio tapeli
Daah kwel kaka Ngja nitimbe tarud namrejeshoMkuu yakuna mganga tapeli anayeishi kijijini... cjui km umeshawahi kufika katanga au bukiriro ni vjjn kweli na uzur wavijiji ukisema ww mganga lzma wapime nguvu zako... h
Chizi Maarifa ndio anajua hao wagangaNenda katanga kuna bibi ni fundi sana jina limenitoka ila kunawatu wanatoka had nje ya nchi kumfuata
Kama ni Bukililo, basi ni kijijini kwelikweli, napafahamu. Huyo mganga si wa kumtilia shaka. Nimepita ile njia kutokea MugunzuMkuu yakuna mganga tapeli anayeishi kijijini... cjui km umeshawahi kufika katanga au bukiriro ni vjjn kweli na uzur wavijiji ukisema ww mganga lzma wapime nguvu zako... h
Ukipata nishtue... nina wanao nifanyia ubaya usio kifani.. uhai wao ni hatari sana kwangu..Wataalamu njoo mnielekeze gwiji wa uganga ambaye nikipeleka mashitaka ya hasimu wangu hachukui week tunamzika ..nielekezeni
🤣🤣Mi uchawi naotumia unatoka Ur of the Chaldeans. Mshana Jr anaujua..Maana hata uchawi wa kilebanenga hautii maguu
🤣We jitafakari tu kwa muda wako, mnawazaga hela 24/7 na bado hamzipati
Matusi ya nini kwenye Koo ya Njemba jamani mbona mnatutafutia matatizo?Acha uongo we jamaa..umesoma NAE wapi..mtoto wa mwisho wa Juma Njemba amezaliwa mwaka 1952...Unataka kutapeli watu eeh??? Mavi yako