Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Mganga wa kusaidia na kupata utajiri ni KUFANYA KAZI
Hatukatai kufanya kazi. Kila tajiri unayemuina anaupande wake wapili hawezi kukwambia... haya mambo ya mvuto wa kibiashara kazi kutoa mikosi unaweza ukakuta ww unapangana kila cku ila v2 haviend

mara nyingi unakuta kwenye mambo ya kimila kwenu kuna shida au watu wamecheza na ww
 
Mkuu yakuna mganga tapeli anayeishi kijijini... cjui km umeshawahi kufika katanga au bukiriro ni vjjn kweli na uzur wavijiji ukisema ww mganga lzma wapime nguvu zako... h
Kama ni Bukililo, basi ni kijijini kwelikweli, napafahamu. Huyo mganga si wa kumtilia shaka. Nimepita ile njia kutokea Mugunzu
 
Nimeimiss JF ya kipindi kile,mada kama hizi sijui zimepotelea wapi..
#NAFUKUA_MAKABURI
 
Wataalamu njoo mnielekeze gwiji wa uganga ambaye nikipeleka mashitaka ya hasimu wangu hachukui week tunamzika ..nielekezeni
 
Wataalamu njoo mnielekeze gwiji wa uganga ambaye nikipeleka mashitaka ya hasimu wangu hachukui week tunamzika ..nielekezeni
Ukipata nishtue... nina wanao nifanyia ubaya usio kifani.. uhai wao ni hatari sana kwangu..
 
Juma Njemba.

Sema Kigoma ni wachawi mpaka unanuka. Yani ukiingia bifu na mtu wa Kigoma ukiona mmepelekana kwenye nguvu za giza wew omba msamaha tu
 
90% ya wakazi wa Kigoma wapo kwenye makundi matatu either mganga, mchawi au mshirikina. Sababu wapo jirani na Congo.
 
Huyu Mzee Alikua Anakaa Pale Ujiji Mitaa ya Soko la Kagera Mkikosana Asubuh Akikwambia Hutoliona jua la saa 12 Ndgu yangu Ita Wanao Acha na Wosia kabisa Jioni Wewe Maiti
 
Back
Top Bottom