AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
Alikuwa mwenyeji wa kuzimu bila shaka.Juma Njemba hakuwa wa dunia hii...He was something else
Joseph kabasele ndiyo naniHilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Ninekusoma mkuuKuna fasihi kali sana ndani ya hiki kisa Sky, yaelekea kuna Juma Njemba aneishi sasa hivi akichukua mabinti za watu(wengine sijui ni wake za watu!?) na kuwawowa huku wazazi wao au waume zao wakiufyata maana wakiinua sauti kulalamika wanapotezwa
Kwamba kifo cha Juma Njemba tunaeishi nae kitafurahiwa sana na watu kwa kufanya sherehe tena hasa na hao hao wanaojifanya kujinyenyekeza kwake na kijipendekeza kwa kumlamba miguu huku mioyoni mwao hawamkubali yeye na kazi zake za ulozi
Jamaa alikuwa hatari sana kuna binti mmoja kwao wameshika sana dini siku moja alikutana na Juma Njemba.Juma Njemba alikuwa amekaa nyuma ya nyumba anakula chungwa sasa alipomuona Yule binti akamtania "Mtoto karibu kipande cha chungwa " mtoto akajibu " siwezi kula kitu chochote kutoka kwako kwa sababu baba etu ametukataza anasema tusile kwako wala chochote kutoka kwako " Juma Njemba alicheka kwa hasira halafu akamwambia Yule binti " Yani baba ako ndio amekwambia hivyo? Basi nenda kamwambie hivi Mimi Juma Njemba ninasema hivi kesho afakufa na siku ya mazishi yake ifanyesha mvua kubwa sana ..Baba ake na Yule binti alizikwa kesho yakeNilipofika Kigoma; story zake nilizipata.
Aliogopwa zaidi ya baba wa taifa.
Mtoa mada tiririka tuzijue zaidi.
Naona kama kuna reincarnation yake... Ama pepo lake limemuingia mtu fulani... Namuona Kabisa ana hulka Juma Njemba[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Watoto wake hawakurithi mikoba?
Wengi hufa siku sabaWachawi huwa wanakufa vifo vya mateso sanaaaa....
Na wengi wao huwa wanaanza kuoza Kwanzaa...
Wengi hufa siku saba
Ardhi ilikuwa inamkataaKisa chake cha mwisho huyu bwana alishawahi kumpa mimba mkuu fulani kigoma tena mwanaume baada ya kwenda kumkatia nyanya zake kule ziwa tanganyika rutale,huyo ndo juma njema kiumbe aliyetisha kwa uchawi lakini na yeye akafa kama wengine,kaburi lake ilikuwa kila likichimbwa linajaa maji mpka wakaamua wamzike hivyo hvyo kwenye maji
We huna hata tunguli aka rada?Juma Njemba alikuwa mjomba wangu...wanashare mama na mama yangu
Nina tu mambo twangu...nasafisha safisha nikipataga timeWe huna hata tunguli aka rada?