Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Hilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Joseph kabasele ndiyo nani
 
Nakumbuka visa viwil vya huyu bwana wakati nipo kigoma ni pale alipomtuma mwanake akanunue migebuka soko la buzeba zeba then askari wakamkamata kwa uzururaji,mzee baada ya kuskia akamfata RPC,nakumbuka alikwa ni mgeni but mjeda kufika tu ofisini akaliweka koti lake kwenye ukuta bila kuwepo na msumari then akamwambia nmekuletea kapu langu hil ukaninunulie mboga maana nnayemtuma mmemkamata,ndani ya 20minutes dogo aliachiwa na kupelekwa na escort ya polisi sokoni hadi kwao
 
yeye halikuwa hauhusiani na kutoa jiwe kubwa mtoni ambalo limekandamiza samaki?
 
Kuna fasihi kali sana ndani ya hiki kisa Sky, yaelekea kuna Juma Njemba aneishi sasa hivi akichukua mabinti za watu(wengine sijui ni wake za watu!?) na kuwawowa huku wazazi wao au waume zao wakiufyata maana wakiinua sauti kulalamika wanapotezwa

Kwamba kifo cha Juma Njemba tunaeishi nae kitafurahiwa sana na watu kwa kufanya sherehe tena hasa na hao hao wanaojifanya kujinyenyekeza kwake na kijipendekeza kwa kumlamba miguu huku mioyoni mwao hawamkubali yeye na kazi zake za ulozi
Ninekusoma mkuu
 
Nilipofika Kigoma; story zake nilizipata.
Aliogopwa zaidi ya baba wa taifa.
Mtoa mada tiririka tuzijue zaidi.
Jamaa alikuwa hatari sana kuna binti mmoja kwao wameshika sana dini siku moja alikutana na Juma Njemba.Juma Njemba alikuwa amekaa nyuma ya nyumba anakula chungwa sasa alipomuona Yule binti akamtania "Mtoto karibu kipande cha chungwa " mtoto akajibu " siwezi kula kitu chochote kutoka kwako kwa sababu baba etu ametukataza anasema tusile kwako wala chochote kutoka kwako " Juma Njemba alicheka kwa hasira halafu akamwambia Yule binti " Yani baba ako ndio amekwambia hivyo? Basi nenda kamwambie hivi Mimi Juma Njemba ninasema hivi kesho afakufa na siku ya mazishi yake ifanyesha mvua kubwa sana ..Baba ake na Yule binti alizikwa kesho yake
 
Kisa chake cha mwisho huyu bwana alishawahi kumpa mimba mkuu fulani kigoma tena mwanaume baada ya kwenda kumkatia nyanya zake kule ziwa tanganyika rutale,huyo ndo juma njema kiumbe aliyetisha kwa uchawi lakini na yeye akafa kama wengine,kaburi lake ilikuwa kila likichimbwa linajaa maji mpka wakaamua wamzike hivyo hvyo kwenye maji
 
Kisa chake cha mwisho huyu bwana alishawahi kumpa mimba mkuu fulani kigoma tena mwanaume baada ya kwenda kumkatia nyanya zake kule ziwa tanganyika rutale,huyo ndo juma njema kiumbe aliyetisha kwa uchawi lakini na yeye akafa kama wengine,kaburi lake ilikuwa kila likichimbwa linajaa maji mpka wakaamua wamzike hivyo hvyo kwenye maji
Ardhi ilikuwa inamkataa
Kama nawaona marehemu alowatanguliza walivomgawana [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu nakujaa kuandika kitabu cha huyo mtu atakuwa ni miongoni mwa watu watakaokuwepo kwenye chapters ya kitabu changu cha "The Crooks men ever lived in tz"...am comming all the way from Miami ........nina fund ya uandishi nimepata....
kuna kichwa kinaitwa Jombi...mby hiyo....Ali na ali and the like...
 
Back
Top Bottom