enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Literature at work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana watt wangapi wako wapi nani amerithi shughuli zakeUna sh ngapi nikwambie?
900 itapendezaUna sh ngapi nikwambie?
Drone alikuachia wewe ugundue mkuu.siangefanya namna agundue drone tech tungekuwa na kibri duniani kaishia kuua watu na kuoa africa sijui tunalaana gani
Ulikua unataka utajiri mkuu?mimi niluwahi kwenda kwa huyo mzee lakini niliogopa kumalizia zindiko la milango saba ya ziwa tanganyika, nikaondoka kwa kutoroka tukiwa mlango wa tatu , nadhani umenikumbusha mbali mno wala hujakosea kitu.