Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

LIKUD hiyo ya kufa na hiyo ya kupikwa kwenye pipa alifanyiwa zzk hadi leo ndio maana anajiamini yule mtoto , na ukicheza na zitto kwenye mila anakuondoa , yule dogo alifaidi dawa zile wengine tulishtuka alishakufa.
Kwa hiyo kifupi zzk kwenye mambo ya kimila kaiva sana na sio mbwembwe za kisiasa anazowapiga watu?
 
Hahaha utapeli wa kitoto kweli ..wadanganye wasojua ..so unataka watu wakufuate pm ili uwapeleke kwa hao Fake Apprentices of Juma Njemba!!! Kuweni macho msije tapeliwa..Naona ume hijack Uzi ili utafute wateja..Msidanganywe wakuu Juma Njemba alishakufa na mrithi wake alikufa mwaka 2001..
Embu nikuulize mrithi wake akifa yale maruhani aliowamiliki wanakimbilia wapi?
 
Mkuu hyo ELIMU YA KITABU unayozungumzia ndio uchawi wenyewe,uchawi sio lazima kutumia tunguli na kaniki,nyie ndo mnapotosha watu wanaenda kwa hao wanaojiita 'mashehe' wanaandikiwa makombe na zafarani,kupewa mipete wakidhani ni halali mwisho wake uislamu unapakwa matope.Narudia tena yale aliyokuwa anafanya marehemu shehe yahya and the likes ni uchawi/ushirikina.Hayo mavitabu ni manuals tu.na kwa vile mengi wanayoyatumia yanalugha ya kiarabu ndo kabisaa watu wanaingia mkenge.
Kabisa Kabisa
 
Juma Njemba alikuwa mcha Mungu, alisaidia sana wenye shida mbsli mbali,alikuwa mtu wa haki asiependa watu wanyanyasike/waonewe.....Wanaomsema vibaya Njemba, ni wale watu waovu ambao Njemba aliwashughulikia kisawa sawa....LIKUD mtoa mada acha uongo na uzushi wa kumchafua Njemba wewe
Mara nyingi sana watu wakatili, hasa washirikina na wachawi wale sugu na wanaoogopwa, huwa wanajificha ktk kivuli cha kusaidia Jamii iliyo karibu nao. Na kujifanya wana Huduma sana, au ndg wa karibu yao huwajali sana, ili watende madudu yao na wapate wa kuwatetea, ndiyo maana MTU anapokurupuka humu na kusema Alikuwa MTU mwema eti tukamuulize mwanae yupo hapo ujiji inatia ukakasi sana hivi ndg wa Njemba au Wanae au mke anawezakueleza mabaya ya Mme/Mzazi wake??? Wakati wao ndo wanufaika wakubwa wa rasilimali zulizopatikana baada ya mzazi wao au ngd yao kumwaga Damu za watu??? Halafu MTU anapokurupuka na kusema Tulete idadi au ushahidi wa watu Aliowaua hivi MTU wa hivi anakuwa serious kweli?? Yaani tukuletee idadi ya watu aluowaua kichawi??? Zaidi sana mabaya ya MTU utayapata kwa watu wa nje na Familia au wale ambao waliathirika na Uchawi wake.. Njemba ni MTU Hatari sana Nina mwaka mmoja tu Kigoma Lakini matukio yake Yanafahamika kila Kona ya Mji wa Kigoma.
 
Wakongwe wa Ujiji ni Said Arobati, Saleh Ndauga, Kabeke, Kitama, Njemba, Omari Kakolwa, Sheikh Kitumba, Sheikh Khalfan, Yusuf Tosiri, Abdallah kitenge, Mussa Rehani, Abdallah Chakuwa, Ganja Smoking, Saadan Abdul Kandoro, Snow White, Mohammed Saddallah, King Seleman, Issa Maganya, Mzee Mnukwa, Abubakar Mwilima, Jumapili Kasongo, Mzee Kocho, Issa Sadiki, Mzee Saliboko, Nk
Huyu Mwilima ndo aliyekufa miaka ya karibuni amabye mwanae alikuwa wizara ya fedha?
 
Mara nyingi sana watu wakatili, hasa washirikina na wachawi wale sugu na wanaoogopwa, huwa wanajificha ktk kivuli cha kusaidia Jamii iliyo karibu nao. Na kujifanya wana Huduma sana, au ndg wa karibu yao huwajali sana, ili watende madudu yao na wapate wa kuwatetea, ndiyo maana MTU anapokurupuka humu na kusema Alikuwa MTU mwema eti tukamuulize mwanae yupo hapo ujiji inatia ukakasi sana hivi ndg wa Njemba au Wanae au mke anawezakueleza mabaya ya Mme/Mzazi wake??? Wakati wao ndo wanufaika wakubwa wa rasilimali zulizopatikana baada ya mzazi wao au ngd yao kumwaga Damu za watu??? Halafu MTU anapokurupuka na kusema Tulete idadi au ushahidi wa watu Aliowaua hivi MTU wa hivi anakuwa serious kweli?? Yaani tukuletee idadi ya watu aluowaua kichawi??? Zaidi sana mabaya ya MTU utayapata kwa watu wa nje na Familia au wale ambao waliathirika na Uchawi wake.. Njemba ni MTU Hatari sana Nina mwaka mmoja tu Kigoma Lakini matukio yake Yanafahamika kila Kona ya Mji wa Kigoma.
Mkuu umeongea vizuri sana kwani wanaobisha ni wazi wana maslahi binafsi
 
Walioshangilia kifo chake ni watu waovu waliokuwa wanashughulikiwa na Njemba......Mwaka 2002 wakati nachimba madini ya dhahabu Kigoma Karenge wachimbaji wengi sana walisaidiwa na Njemba....Wachawi wote walikuwa wanamuogopa sana Njemba

kutokana na vitabu vyote vya dini, ni mungu pekee ndiye mwenye uwezo na mamlaka ya kuhukumu. kitendo cha yye kushughulikia mahasimu wake, hilo ni chukizo mbele ya mungu na mbele ya walioishi naye. hivi duniA ingekuwaje endepo kila mtu angekuwa anauwezo wa kumshughulikia hasimu wake?

mtu akikufanyia wewe pekee ama baadhi yenu mambo mema, haimaanishi mtu huyo anaweza asiwe mwema kwa wengine weengi kama unavyoona asiimia kubwa humu na waLiomfahamu wanaafiki yoote alionena mleta mada despite ya kuwa wewe alikuwezeshe kuvuna dhahabu kwa nguvu usizo zijua.
 
Elimu ni muhimu sana hawa wangesoma wasingekuwa hivi cha ajabu wenyeji wa mkoa huo wanajisifia sana uchawi ukiishi nao, ukifanya nao kazi ni taabu.
 
Hata Mussa alikuwa Mungu
@LIKUD hivi unamfahamu Bunaia jamaa wa Mbagala. Nilisikia matukio yake mawili. Moja kpindi Kikwete anagombea kuwa waliitwa wakali wa hizo mambo wapige dua, naskia jamaa alipiga hiyo inayoitwa dua mpka akashusha "kiumbe" na tukio lake la pili ni kesi ya Mramba naskia iliisha kabla hata ya ile hukumu, yaani jamaa aliwaambia mtatoka.
 
Pamoja na yote yaliyoletwa humu, nimewaza jinsi ambavyo LIKUD anamshambulia jamaa anaye mtetea mdingi wake kwa kumwita tapeli, anayetaka watu wamfate etc.

Kuna kitu naona LIKUD kama kaharibiwa dili, labda alitaka kutueleza mbeleni baadhi ya ujuzi aliochota kwa mzee ili watu wamtafute.

Ila naona ukoo umekaza imebidi akimbilie utapeli.
aisee jamaa umefikiria sana
 
Yaani eti kaja kwa wanaoua waume zao kaona Tz nzima? Ishozi anakufahamu?
walikuuwa wewe?
peleka hekaya zako huko kwenu bisheke
na bado utatokwa povu vibaya Kilimanjaro ndio role modal ya maendeleo tz
ninyi mpo maskini kwasababu mnapigana mAjungu na kuoneana wivu wa kipuuz kwa hali hiyo ni sahihi KBS kagera kuwa ya tatu kwa umaskini
ishozi ni pa kAwaida
wewe ushafika marangu,himo,mwika,sanya,machame,bomangombe?
 
nyie si mpo radhi kuua/kutapeli kisa mali..kila mtu angekua na roho kama yenu unadhani tz ingekua hivi ilivyo kwa uungwana!?
 
Back
Top Bottom