josephat manyenye
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 529
- 681
hawa hakuna hata haja ya kuhangaika naoWakuu JF,
Mi nionavyo kuna Mbunge anaitwa Nkamia na mwingine ambaye sijui ana cheo gani, anaitwa Musiba, wachukuliwe hatua mara moja. Rais Magufuli alitoa rai kuhusu jambo la kuongezewa muda wa kuongoza likome Mara Moja.
Lakini viongozi hao wamekosa utii juu ya kauli zao, Wako kinyume na kiongozi mkubwa wa nchi.
Wakuu JF,
Mi nionavyo kuna Mbunge anaitwa Nkamia na mwingine ambaye sijui ana cheo gani, anaitwa Musiba, wachukuliwe hatua mara moja. Rais Magufuli alitoa rai kuhusu jambo la kuongezewa muda wa kuongoza likome Mara Moja.
Lakini viongozi hao wamekosa utii juu ya kauli zao, Wako kinyume na kiongozi mkubwa wa nchi.
Mi sitak kuamini kama hawatachukuliwa hatua kwa kumpinga kiongozi wao juu ya kuongozewa Muda wa kuongozaUmesikia kauli yake kuhusu vyuma kukaza kutaka wanaotoa kauli hii kuamrisha wakamatwe, lakini cha ajabu hawezi kusema wanaosema aongezewe muda wakamatwe!!! Wanafiki ndivyo walivyo Mkuu!
Tuvute subrrriiiUsikute lao moja, wanacheza chess itafika wakati unasikia "checkmate" hapo ujuwe mmeshaliwa
Mi sitak kuamini kama hawatachukuliwa hatua kwa kumpinga kiongozi wao juu ya kuongozewa Muda wa kuongoza
Miongoni mwa wale walioimba kale kawimbo no Yule aliyempigia kura naibu meya kutoka ukawa. Hata kwenye bunge bado wapoMagufuri anazo akili nyingi na mjanja sana kuliko wanachama wote wa ccm anategwa na mtego ameshaujuwa .na pia anawajua kwamba ccm ni wanafki unakumbuka wale walio sema tunaimani na lowassa sasa ndio hawa akina nkamia usifikirie kwamba baadhi ya wanaccm wanamkubali magufuri
Ss c tujipe muda tu jaman, au kashikwa pabaya?!Watu wote ama vyombo vya habari vinavyooongea kitu ambacho rais hapendi wanakamatwa na hata vyombo vingine vya habari kufungiwa. Ukiona hao wanaolazimisha rais aongezewe muda na hawachukuliwi hatua wakati rais ameshatangaza inabidi ujiongeze.
Ss c tujipe muda tu jaman, au kashikwa pabaya?!
Ina maana akiwa anaombwa madaraka yaendelee kwenye mikono, moyoni anafurahia, nje ananuna. Muda ni rafikiIle kanusha ilikuwa zuga tu. Kwa wakristu wanasema usitazame maneno tazama matendo.
Hueleweki wwWATANZANIA kuna watu wameanza kuleta chokochoko Kwa kisingizio cha kuwa Eti wananchi wanataka kipindi cha Urais kiwe MIAKA 7 badala ya MIAKA 5.Najiuliza ni lini wananchi tuliwaeleza?Alianza Mh.Nkamia mbunge wa Chemba, WAZEE kama mzee Msekwa alimkemeaJuzi kaibuka Bw MUSIBA yeye ndio anasema eti wananchi wanataka.Watanzania hebu amkeni hawa watu wanataka kuanzisha Chokochoko na Uchochezi tuwakemee Kwa nguvu zetu zote .