Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Wadau najiuliza Kwanini CCM haijamkemea Mbunge Nkamia Kwa kuendeleza MJADALA WA Urais LICHA ya Rais ambaye ni Mwenyekiti Wa CCM kukataa?
Nionyeshe rafiki zako nikuambie wewe ni mtu gani
 
Kama wangekuwa na uchungu kuhusiana na matumizi ya ovyo wasingejipandishis mishahara na marupurupu
 
Ilikuwa ni janja yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…