mwanaludewa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 764
- 524
Bahati mbaya sana haifikirii hata japo siku moja kuachia Madaraka!Na vyama mbadala havijajipanga!Adui namba 1 wa Nchi hii ni Ccm
Bahati mbaya sana haifikirii hata japo siku moja kuachia Madaraka!Na vyama mbadala havijajipanga!Adui namba 1 wa Nchi hii ni Ccm
Mpuuzi tu huyu anadhani kumwaga damu jibu la njaa zakeUlichonikera ni kuhamasisha umwagaji Damu kwa msingi wa mawazo yako bila kuthibitisha ukweli wa jambo
IQ yako nindogo kiuelewa rudia kusoma nilicho andika.Kama mna taka kuongee tokezen hadharani acheni kuonge nyuma ya keyboard! Shida ya watu walioshindwa maisha hutaka kutumia nguvu kukabiriana na maisha bila kujua wanacho kabiliana nacho kama kinataka nguvu au akili, nakuhakikishia damu itakayo mwagika ni yako na mtoa mada. Kama mnabisha semeni haya hadharani
Maajabu na ubinafsi wakiwa kama watumwaji,ndo maana hawachukuliwi hatua,wakitaka kubadili katiba wabadili katiba nzima tupate katiba mpya pendekezi sio kipengele cha kipande tu cha katiba cha mambo ya ukomo.Hii kitu wananchi atuikubali.Maendeleo hayaletwi kwa mda gani unakaa madarakani bali utasi na dhamira ya kweli ya kiongozi.CCM ijitokeze hadharani kuelezea huu mpango wao.
Ungekuwa na IQ kubwa usinge support ujingaIQ yako nindogo kiuelewa rudia kusoma nilicho andika.
Maajabu na ubinafsi wakiwa kama watumwaji,ndo maana hawachukuliwi hatua,wakitaka kubadili katiba wabadili katiba nzima tupate katiba mpya pendekezi sio kipengele cha kipande tu cha katiba cha mambo ya ukomo.Hii kitu wananchi atuikubali.Maendeleo hayaletwi kwa mda gani unakaa madarakani bali utasi na dhamira ya kweli ya kiongozi.Wafanye hata miaka 10 wakitaka
Hana siasa kali yoyote ni uzee umemjia vibaya tuJuma Nkamia ni siasa kali yule!
Perfect.Unaweza kukuta hata Mh Rais kukataa ni mbinu ili isije kuonekana yeye ndiye ali initiate akaonekana ame breach Constitution kwa hiyo kihherere nkhamia anatumwa kwakuwa Spika Ndugai siwakukataa yule ni mashine ya kupitisha mambo!
Sikatai damu inaweza kumwagika lkn itakuwa yako na ya wenye akili mbaya kama zako
Ikisemwa Lowassa anarudi CCM maana yake ......
Halafu akishatoka? Au mnataka akae milele? Na je, akishakufa?Wapendwa hakuna haja ya kutoa lugha chafu.
Wapo watanzania wengi wanaovutiwa na utendaji kazi wa Mh Magufuli hususani utetezi wa Rasilimali zetu na kupambana na ufisadi. Naamini hayo ndiyo yanayowasukuma watu wengi hata kufikiria kumuongezea muda wa kukaa madarakani.
Aisee... Unajua nilikuwa najisemea ngoja nimsikilize labda kuna angle mimi siioni... Alivyoongea nilibaki natoa macho... WtfMkuu kwa upande wangu alinichefua mnoo, hajielewi
Kuna sehemu yule dada mtangazaji ilibidi acheke sana baada ya Nkamia kutoa maelezoKikubwa tu nilichokigundua ama kukibaini katika yale Mahojiano ni kwamba Yule Mwandishi ana uwezo mkubwa mno wa Kufikiri wa 99.9% huku Mbunge Juma Nkamia akiwa na uwezo mkubwa wa kutokujua Kufikiri wa 100%. In short tu ni kwamba leo Juma Nkamia ametufanya Watanzania wote tuonekane wa ' hovyo hovyo / mangumbaru / wajinga ' mbele ya wana Afrika Mashariki na Kati wengine waliokuwa wakisikiliza Kipindi kile cha Dira ya Dunia ya leo BBC.