balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Kitufe kipo mezani,kinasubiri kubonyezwa tuu
Nkamia katumwa sio yeyeHuyu mbunge anafahamu kuwa kuna watu wengi sana wataudhika kwa kubadilisha Katiba ili kuwaongezea watu akiwemo yeye muda wa kubaki madarakani. Huu ni uchochezi sawa na uchochezi mwingine.
Hivi kama siku Tanzania tutapata Rais na bunge linalohusudu ufisadi, rushwa, kuuza twiga, faru, ndovu na kushabikia biashara ya dawa za kulevya kwa miaka 14 mfururizo kama Nkamia anavyotaka iwe itakuwaje? Tumkemee Nkamia kwakuwa hakuna utafiti unaoonyesha kuwa umaskini wetu ulisababishwa na uchaguzi wa kila miaka 5 na namna kuchaguana kila baada ya miaka 7 kutakavyopandisha uchumi wetu.
Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!
Maendeleo uletwa na dira na mikakati endelevu ya kitaifa,sio suala la mda gani kiongozi akae,anaweza akakaa hata zaidi ya hapo na kusiwe na maendeleo km kukaa ni maendeleo nchi nyingi za kidikteta za kiafrica wangekuwa mbali sanaNkamia ametoa maoni yake.
Mh Magufuli ameshatoa msimamo wake kuwa hapendelei mjadala huo ni vema tukaheshimu msimamo wa kiongozi wetu.
Hata hivyo najua watanzania wengi wangependa atawale muda mrefu zaidi ili adumishe yale mazuri anayoyafanya.
Katika taarifa ya habari ya BBC jioni hii amesikika Mhe.Juma Nkamia amempiinga waziwaazi Rais Magufuli kuhusiiana na hoja ya kutaka kuongezewa muda wa Urahisi toka miaka 5 mpaka miiaka 7!
Nkamia amesema atawasiliiana na Spika kuona namna atakavowasillisha hoja yake hiyo!
Pamoja na Rais Magufulii kuwatangazia Watz kupitia K/Mwenezi Bw. Polepole kuwa JPM hafurahishwi na mjadala huo wa kutaka aongezewe muda!!!!
Hoja ya Ngamia haina mashko anapodai ati Serkali inatummiia mabiilionii kwenye chaguzi kiila baada ya miaka 5!!! Ngamiia ni mnafiikii na hana adabu!!!Watz wangelimwelewa angelihoji kuhsu chaguzi ndogo za marudiio zinazokula mabiliionii kwa uzembe tu........!!!
Swali ni, Je, nani yuko nyuma ya huu upuuzi anaong'ang'ania Nkamia??Kama Mbunge wa CCM anapingana na Rais na Mwenyekiti wake wa Chama kwanini tusimwite MCHOCHEZI????
Nkamia bhana.
Kujipendekeza kote huko una tafuta nini kwa magufuli?
Mwenyewe ameshasema hataki na hafurahiii hilo jambo wewe unalazimisha hili iweje?
Hata aibu HAONI.magufuli amesha mkataa.lenyewe halielewi.Huyu Nkamia ni mchochezi. Selo inamuhusu