Unawez ukawa wewe ndio Nkamia mwenyewe.
Ukikamia issue uwe na akili basi ya ku present.
~Huna data za kuback up mawazo hayo yako ya chumbani kwako.
~Ndio maana watu wnahisi umetumwa.
~Hela za uchaguzi ni kiasi gani,
~wananchi wangapi wana kuunga mkono
~Hilo wazo lako limeibuliwa kivipi hasa, au ni wazo la mkeo?
Usitupe ujinga wa kuwa hili ni swali la kisiasa, huku ukilisha wnanchi ujinga utokanao na ubinafsi.
Anza na jimboni kwako uzunguke kudai ukae miaka mitano mingine, pengine wananchi jimboni kwako watakuelewa.
Twende mbali zaidi.
Kwa mtu makini, mwenye kichwa kilicho sawasawa angeanza na katiba mpya.
Katiba ambayo inaweka bayana uwajibikaji wa Rais na wabunge kwa wananchi, pindipo kuna jinai au poor perfomance.
Kwa akili duni ya Nkamia hilo wala halizungumziwi.
Kwako issue ni kuongeza ulaji tu.
Mtu mwenye kichwa kilichoenda shule, angedai si katiba mpya tu bali na kuimarisha taasisi za dola zisitegemee nani yupo madarakani, bali zifanye kazi kwa maadili na udhabiti wa kimfumo.
Mkapa alijitahidi kstika hilo, alileta TANROADS na TRA, na sasa Magufuli kaleta TARURA.
Hiyo ndio mifumo dhabiti inayoendelea hata kama Marais wake watapita.
Nkamia inabidi si tu aende shule, bali awe na uwezo wa kiakili kuelewa mantiki hiyo.