Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Hivi Mkuu ' Jamaa ' anayafanya haya yote kwa ' Utashi ' wake kweli au kuna yanayoendelea labda behind the scene na pengine Sisi wengine tunafanywa ' mangumbaru / wajinga ' tu?
Huyu kachanganyikiwa na madeni na sasa anatumwa na magufuri kama punda! ila atakiona tu
 
awe ametumwa au kajituma ila afaham kuwa kikiwaka yumo kwenye orodha akumbuke tuu kwamba ana watt
 
L
Kuna mwigine kaibuka tena. Anaitwa Musiba. Habari hii isifike kwa Trump maana atarusha tusi zito zaidi
Mkuu Leo kuna senator kasema USA haihitaji "illiterate and unskilled immigrants" so anamsapoti trump kutumia lile neno
 
Wakamatwe kwa kosa gani? Wao wanataka muhula uwe miaka 7, raisi amesema hataki,lakini hakuna aliyevunja sheria hata kama mmoja anasema yeye na wananchi. Kati ya mawazo yao na kutendeka kwa hicho kitu kuna kutengeneza muswada, kuna maamuzi ya bunge na kama mawazo yao yatakubalika bungeni kuna raisi (akubali au akatae) na katiba ibadilishwe. Hivyo acheni lijadiliwe na watu wawe na uhuru wao kikatiba kuunga mkono au kukataa (pamoja na maandamano ikibidi). Chama chao kinaweza pia kuchukua hatua za kichama kikiona inafaa. Lakini kikatiba kuwa na mawazo tofauti na raisi si kosa.
Kikatiba kuwa na mawazo tofauti na msimamo wa raisi sio kosa eeh!?? Unajua ni nn maana ya vyuma kukaza? Kama hujui maana ya uchochezi tofautiana na mkuu!
 
L
Kuna mwigine kaibuka tena. Anaitwa Musiba. Habari hii isifike kwa Trump maana atarusha tusi zito zaidi
Mkuu Leo kuna senator kasema USA haihitaji "illiterate and unskilled immigrants" so anamsapoti trump kutumia lile neno
 
Hiyo hoja ya kuongeza muda wa kuongoza Nchi siyo wa Juma Nkamia bali ni wa JPM na CCM kwa ujumla! Ninasikitishwa na tabia ya Rais Magufuli anavyotufanya wananchi km mazuzu na kutaka kutuongoza km Misukule, ana bonge la dharau la kufa Mtu. Lkn ni vema ajue, ssi siyo wajinga wakushindwa kung'amua hira na mbinu zao hizo!
Kinachouma ni kuwa Jpm hataki hata kujadili katiba ya wananchi!! Lakini wako radhi kubadili vipengere ili watawale maisha!!! WaTz na sisi ni tatizo hatuwezi ku react [emoji40] [emoji85]
 
Nimesikiliza BBC leo jioni na kumsikiliza huyu mheshimiwa sana Juma Nkamia.
Mada yake isiyo na mbele wala nyuma ni kuongeza muda wa urais toka miaka mitano hadi saba.

Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri!


Huyu analazimisha kupendwa wakati hapendeki na akili yake ndiyo kwanza inaendelea kumdanganya
 
hopefully Mr president will allocate more money to schools
Kuliko kukataza michango wakati pesa.......
 
Rais Magufuli is on record, tena mara mbili, kukataa maoni ya wajinga wachache kutaka muda wa urais uongezwe.

Ningemwona Nkamia ana chembe za akili kama angedai katiba mpya.
Kinachouma ni kuwa Jpm hataki hata kujadili katiba ya wananchi!! Lakini wako radhi kubadili vipengere ili watawale maisha!!! WaTz na sisi ni tatizo hatuwezi ku react [emoji40] [emoji85]
Mkuu kwa upumbavu huu tunaweza ku react na hata dunia itatuunga mkono wachache hawawezi kutufanya sie makondoo
 
Juma Nkamia ndio kipimo cha wabunge wengi wa ccm walivyo na ufahamu usioendana na wakati uliopo.

Huwezi kuwa na webunge wengi jamii ya Nkamia halafu Bunge likaleta athari chanya kwa umma.

Lile Bunge liko na wabunge karibia 400 lakini wale wanaojua wajibu wao uliowapeleka pale hawafiki hata mia 50.

Bunge limegeuzwa kama taasisi ndani ya serikali kutokana na kuwa na wabunge maslahi kama jamii ya akina Nkamia na kushindwa kuwatumikia wananchi ambao Bungeni ndio sauti yao ilipo kikatiba.

Wakati mwingine ukitazama kwa jicho la tatu unakuja kukundua kuwa tatizo ni kubwa huku chini kuliko tunavyodhani sababu hawa akina Nkamia hawajajipeka wenyewe, bali wamepelekwa na hawa hawa wananchi wanaowatumikia.

Kuna tatizo kubwa sana la ufahamu wa elimu ya uraia hapa nchini.

Kuwa na jamii kubwa iliyojaa ukosefu wa elimu ya uraia ni furaha ya ccm, kutokujitambua kwa jamii kubwa ni mtaji mkubwa sana kwa sababu na hili huwa ndio nguzo yao kuu inayowaweka hai madarakani hadi sasa.

Siku jamii pana itajitambua basi ccm itakuwa kwa heri Tanzania, na itabaki kwenye jumba la makumbusho.
 
Juma Nkamia ndio kipimo cha wabunge wengi wa ccm walivyo na ufahamu usioendana na wakati uliopo.

Huwezi kuwa na webunge wengi jamii ya Nkamia halafu Bunge likaleta athari chanya kwa umma.

Lile Bunge liko na wabunge karibia 400 lakini wale wanaojua wajua wajibu wao uliowapeleka pale hawafiki hata mia 50.

Bunge limegeuzwa kama taasisi ndani ya serikali kutokana na kuwa na wabunge maslahi kama jamii ya akina Nkamia na kushindwa kuwatumikia wananchi ambao Bungeni ndio sauti yao ilipo kikatiba.

Wakati mwingine ukitazama kwa jicho la tatu unakuja kukundua kuwa tatizo ni kubwa huku chini kuliko tunavyodhani sababu hawa akina Nkamia hawajajipeka wenyewe, bali wamepelekwa na hawa hawa wananchi wanaowatumikia.

Kuna tatizo kubwa sana la ufahamu wa elimu ya uraia hapa nchini.

Kuwa na jamii kubwa iliyojaa ukosefu wa elimu ya uraia ni furaha ya ccm, kutokujitambua kwa jamii kubwa ni mtaji mkubwa sana kwa sababu na hili huwa ndio nguzo yao kuu inayowaweka hai madarakani hadi sasa.

Siku jamii pana itajitambua basi ccm itakuwa kwa heri Tanzania, na itabaki kwenye jumba la makumbusho.


SURE MKUU.
 
Back
Top Bottom