Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Nimesikiliza BBC leo jioni na kumsikiliza huyu mheshimiwa sana Juma Nkamia.
Mada yake isiyo na mbele wala nyuma ni kuongeza muda wa urais toka miaka mitano hadi saba.

Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri!

Nimemsikiliza ndugu mmoja aliye mfundisha kuwa mantiki ya utawala ni uendelevu wa taasisi za dola, ili zifanyekazi zinazopaswa.

Jamaa wala hakuelewa.
Kwa hili hata elimu ya msingi hadi chuo kikuu nafikiri inampiga chenga.
Maana somo la DS nafikiri halimo kichwani.

Kuna mtu akatuma ujumbe kuwa huyo J Nkamia katumwa, Juma akaanza kutusi kuwa hayo ni maneno ya chumbani.

Jamani nijulisheni ,huyu Nkamia mbona ana IQ ndogo hivi?
Na anawawakilisha jimbo gani?
Kuna mwenzake anaitwa Obed Mlaga kwa sasa anajiita Cyprian Musiba
 
Kikatiba kuwa na mawazo tofauti na msimamo wa raisi sio kosa eeh!?? Unajua ni nn maana ya vyuma kukaza? Kama hujui maana ya uchochezi tofautiana na mkuu!
Tatizo ndo liko hapo, yeye awe na uhuru wa kusema mawazo yake na mwingine akiwa na wazo tofauti akilisema aitwe mchochezi. Kama watu hawavunji sheria/katiba wawe CCM au Wapinzani waruhusiwe kusema-nongwa inatoka wapi? Au mawazo ya mwenyekiti ya........hasa pale aendapo kinyume na katiba au sheria. Nkamia na Musiba wajibiwe kwa kujenga hoja na sio kutaka wakamatwe!!!!!
 
usidanganyike na kauli ya rais. huo ni mpango unaoratibiwa na vijana wake. na kwa hiyo kuna watu watasaananeka. chakubanga propaganda tu.
 
Jamani nijulisheni ,huyu Nkamia mbona ana IQ ndogo hivi?
Na anawawakilisha jimbo gani?
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.

Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.

Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.

Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.

Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.

Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.

Paskali
 
usidanganyike na kauli ya rais. huo ni mpango unaoratibiwa na vijana wake. na kwa hiyo kuna watu watasaananeka. chakubanga propaganda tu.
Tulipofikia Mungu tu ndio anajua
 
Poise,
Nasubiria kuona wale wanaosema kila jambo kua huu ni chochezi wachukue hatua.

Wasipowachukulia hatua wote wanaoendeleza mjadala huo hapo Tanzania basi tujiandae tu kuwa kama.DR Congo, Rwanda, Uganda ,Burundi, Cameroon, Tchad and the likes ale uchwara wote wa Africa.

Vyombo vya dola ambavyo vinahusika wachukulieni hatua wote wanatoa kauli kinzani na Tamko la Rais na Ikulu juzi imetoa maelekezo rasmi kuwa mjadala huo usitishwe maana, Rais hafurahishwi nao katu.

Tumeshuhudia vijana hata wa miaka 19 wakikamatwa, mtoto wa Picha za hostel UDSM akikamatwa, na wengine wengiiii sasa iweje hao wanaochochea wazi wazi kabisa kwa kumhusisha Rais na jambo ambalo amelikataa wazi, ikulu imekataa bado waendelee kudunda mitaani!?

Je wao huo siyo uchochezi!?

Au uchochezi uko pale tu mtu anaposemwa au kurekebishwa na kushauriwa!?

Hata takwimu zimekatazwa kutimika au kutolewa kitu ambacho ni Sawa.
Je, hapa idadi ya miaka kwa nini wabeba bango wasichukuliwe hatua!?


Ila wakiachwa waendelee kutangaza na hakuna hatua dhidi yao baasiiiiiiiii, tutaelewa kuwa wote ni timu moja.
 
Trump ameshamaliza

Yule babu kule America kamaliza mkuu. Kila nikitafuta sababu ili nipingane na mawazo yake nazikosa, sana sana kila uchao wanaibuka akina Nkamia kuthibisha kuwa kweli sisi waafrika ni nanihii...nanihii.
Hatari kabisa.
 
Toka lini unaweza kumpiga mkeo atakapo kusifia kwa baba Fulani hakika wewe ni mwanaume lakini akikuponda na kukuletea dharau utajisikiaje .bila shaka jibu umeshapata hao watakula bata tu ukitaka kutubu wamseme mbovu bwana wao
 
Wajanja wampa zigo me mavi abebe was wametangulia wamedaka n.a. awazili tayari
Yeye anakomaa n.a. zigo la mavi.
 
Nimesikiliza BBC leo jioni na kumsikiliza huyu mheshimiwa sana Juma Nkamia.
Mada yake isiyo na mbele wala nyuma ni kuongeza muda wa urais toka miaka mitano hadi saba.

Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri!

Nimemsikiliza ndugu mmoja aliye mfundisha kuwa mantiki ya utawala ni uendelevu wa taasisi za dola, ili zifanyekazi zinazopaswa.

Jamaa wala hakuelewa.
Kwa hili hata elimu ya msingi hadi chuo kikuu nafikiri inampiga chenga.
Maana somo la DS nafikiri halimo kichwani.

Kuna mtu akatuma ujumbe kuwa huyo J Nkamia katumwa, Juma akaanza kutusi kuwa hayo ni maneno ya chumbani.

Jamani nijulisheni ,huyu Nkamia mbona ana IQ ndogo hivi?
Na anawawakilisha jimbo gani?
Si yeye bali ni tumbo.
 
Tatizo labda ni uchama, eidha yeye amelitoa Wazo kichama ama wanaompinga nao wako kichama ama amewajibu kichama. Siasa za vyama vingi Tz ni sumu ya kufikiri.

Lakini hii hoja ina mantiki sana, kwa taifa changa kiuchumi kama letu, na kwa yaliyo tukia 2015 kwa mfano kiuchumi, kuna mantiki kubwa kwa vipindi vya uchaguzi kuongezwa, tena si saba bali kumi kabisa kwa awamu moja na iwe kwa awamu mbili.

Bendera, magari, mizunguko, matangazo, vipeperushi, muda nknk vyote ni mali tena in cash, makampuni, watu, wanalipwa. Fedha ambazo zingekidhi baadhi ya majukumu ya msingi ya kitaifa, Mfano elimu, afya, maji, kilimo nknk.

Dar ilifurika mabendera, vipeperushi na maujinga kibao, yote ni kwa kipindi kifupi tu cha mpito wa uchaguzi, kwanza zile ni hela, lakini pia sisi si matajiri wa kutumia fedha kijinga vile. Leo tunalia uchumi na huduma ni mbovu, hatuwazi ni kiasi cha shilingi ngapi chaguzi zetu, kwa ujumla wake ugharimu.

Fikiria hali ilivyo kwa sasa, nchi inapigania kujikwamua ktk hili wimbi, majukumu ni mengi, muda ni mchache, fedha ama vipato ni vichache, urasimu ni mwingi, ila miaka miwili ijayo, taifa liache yote, lijikite tena kwenye uchaguzi. Kama 2015 ama zaidi ya pale, hela itumike tena kivile, ni ujinga. Hata ni kama familia yako binafsi, usingependa ipitiwe na ujinga huu, mzee au wewe kila baada ya miaka mitano, unapoteza mamilioni kugombea udiwani ama ubunge,kihasara: kila baada ya miaka mitano tu! Duh! Nadhani hata mke na watoto wangekushauri vinginevyo, taifa ni zaidi ya familia.

Inawezekana, amelitoa kisiasa, au amezijibu hoja kisiasa, au ameulizwa maswali kisiasa, ama amejibiwa kisiasa, ila hoja ina MASHIKO SANA.
 
Baada tu ya kuhojiwa na BBC na akasema tofauti na boss wake,boss wake alitakiwa kwanza kumfutia uanachama, ila ukimya wa boss wao inaonesha wazi kuwa kuna jambo nyuma ya pazia. Boss anataka pengine awe wa maisha
 
Back
Top Bottom