Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 755
- 1,055
Kwa sisi wa nyumba za uswazi huku, chemba ina uhusiano mkubwa sana na shithole?Aibu ht kusema! Mbunge wa chemba wilayani kondoa mkoani Dodoma!

Hakuna cha IQ hapo mkuu. Huyu ni mjumbe tu katumwa na chama chake.Nimesikiliza BBC leo jioni na kumsikiliza huyu mheshimiwa sana Juma Nkamia.
Mada yake isiyo na mbele wala nyuma ni kuongeza muda wa urais toka miaka mitano hadi saba.
Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri!
Nimemsikiliza ndugu mmoja aliye mfundisha kuwa mantiki ya utawala ni uendelevu wa taasisi za dola, ili zifanyekazi zinazopaswa.
Jamaa wala hakuelewa.
Kwa hili hata elimu ya msingi hadi chuo kikuu nafikiri inampiga chenga.
Maana somo la DS nafikiri halimo kichwani.
Kuna mtu akatuma ujumbe kuwa huyo J Nkamia katumwa, Juma akaanza kutusi kuwa hayo ni maneno ya chumbani.
Jamani nijulisheni ,huyu Nkamia mbona ana IQ ndogo hivi?
Na anawawakilisha jimbo gani?
Mkuu hao wanaojitokeza sio wao bali wao wanaachama tu maneno yanayotoka ni ya ccm kama mpango mzima.Trump ni mtu mkweli na asiye mnafiki kwa haya yanayotokea Africa ,Hafu unakuta mtu anatokeza hadharani kinafiki kusikitisha na wazo hilo .
Yeye anataka kuasi katiba kwa kujiongezea muda wa kukaa ikulu atakiona ole wake!duuhh..., et mwambie atubu wabongo bana, mi nikukumbushe tu kuwa malaika mkuu ndio shetani mkuu.!
Wadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7. Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa ccm kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.
Watu kama Musiba, Nkamia and co ni baadhi ya wajinga waliokubali kutumiwa na ccm kueneza huo ujinga wa mtu kutaka kuibadilisha katiba kwa masrahi yake.Huku Polepole akiwa anajifanya kuwa Rais hapendezwi na huo mjadala ili watu wenye akili chache wawaamini kwa hayo maneno yao.
Tunajua mnao wabunge wengi wanaoweza kufanya mtakavyo lakini kwa hili Tanzania itamwaga damu na huyo mtu wenu ndo utakuwa mwisho wake.Msitufanye watanzania ni mazuzu kiasi hicho.
Mwambie ATUBU
Damu inamwagwa na nani na ya nani? Nilifikiri unataka maoni yetu juu ya ama inafaa au haifai kuwa na muhula wa miaka saba au kubaki na mihula tuliyonayo na badala yake unatwambia habari za kumwaga damu? Ulaaniwe!!!Wadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7. Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa ccm kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.
Watu kama Musiba, Nkamia and co ni baadhi ya wajinga waliokubali kutumiwa na ccm kueneza huo ujinga wa mtu kutaka kuibadilisha katiba kwa masrahi yake.Huku Polepole akiwa anajifanya kuwa Rais hapendezwi na huo mjadala ili watu wenye akili chache wawaamini kwa hayo maneno yao.
Tunajua mnao wabunge wengi wanaoweza kufanya mtakavyo lakini kwa hili Tanzania itamwaga damu na huyo mtu wenu ndo utakuwa mwisho wake.Msitufanye watanzania ni mazuzu kiasi hicho.
Mwambie ATUBU
Wewe ndiye uliyeongea la maana! Urais uwe ni taasisi. Na nadhani kwa tulipofikia, katiba mpya ni muhimu kwa hilo. Ingawa ya serikali mbili ina walakini ila ya tatu ni mbaya zaidi, natamani ya moja. Mengine yote Yanaweza yakawa Kivyovyote vile.Mkuu tatizo siyo gharama za uchaguzi wala kipindi cha kuongoza hata akipewa miaka 50 kama hawezi hawezi tu, kinachotakiwa ni kuimarisha institutions ikiwemo ya urais, rais yeyote akiimarisha institutions hata akiondoka baada ya miaka mitano anayemfuata (kama taasisi) ataendeleza alipoishia.
Wadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7. Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa ccm kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.
Watu kama Musiba, Nkamia and co ni baadhi ya wajinga waliokubali kutumiwa na ccm kueneza huo ujinga wa mtu kutaka kuibadilisha katiba kwa masrahi yake.Huku Polepole akiwa anajifanya kuwa Rais hapendezwi na huo mjadala ili watu wenye akili chache wawaamini kwa hayo maneno yao.
Tunajua mnao wabunge wengi wanaoweza kufanya mtakavyo lakini kwa hili Tanzania itamwaga damu na huyo mtu wenu ndo utakuwa mwisho wake.Msitufanye watanzania ni mazuzu kiasi hicho.
Mwambie ATUBU
eeh magufuli anajifanya hataki huku wanakaa kona anawatanguliza mapomole na misukule iende kutoa povu mitanandaoni na kwenye telepicha wapate kuwapumbaza wananchi lakin mpango wa makufull kujiongezea miaka uko palepale hilo mtambue siku likiingia bunge kama uganda ilivyokuwa.Wadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7. Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa ccm kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.