Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

naanza kupata ukakasi hasa haya matukio yaliyofuatana,

1:mkulu kakataa akisema hapendezwi na hoja hiyo

2: mara paaap kagame huyu hapa(wameongea ya kuongea ingawa mengine tumepata kwa media na mengine wanajua wenyewe,

3: atujakaa vizuri mara tunsikia nka100 atapeleka hoja yake bungeni kujadiliwa

kama mkuu anamfumbia huyu macho basi kitendo hiki amekibariki sema anakwepa ili ionekane kashinikizwa kukaa miaka 7 bila kupenda

😳 😳 😳 kumbe nawaza kwa sauti mpaka mmesikia
 
Nkamia ametoa maoni yake.
Mh Magufuli ameshatoa msimamo wake kuwa hapendelei mjadala huo ni vema tukaheshimu msimamo wa kiongozi wetu.
Hata hivyo najua watanzania wengi wangependa atawale muda mrefu zaidi ili adumishe yale mazuri anayoyafanya.
Acha kujipendekeza! Unadhani nchi zilizoendelea kwanini zinaheshimu katiba??Clinton alisimamisha juu uchumi wa marekani lakini japo alifanya mazuri aliheshimu katiba!nyie mnajiita makada wazalendo mnajipendekeza sana nanyie ndo mtatia nchi pabaya!fikirieni vizazi vyeni msiwazie matumbo yenu!
 
Apelekwe the h......naonaaa anatutania huyu mbunge
 
Aseme yeye ndio anataka aongezewe muda wa ubunge kwa kisingizio cha kuongeza muda wa urais
 
Naam Mkuu kama kweli uchwara hataki kuongezewa muda kwanini asimuonye huyu na mwingine yeyote yule mwenye dhana hii potofu. Yeye si alidai hajaribiwi!? Sasa kwanini hawa wanamjaribu hawatolei vitisho vyake tulivyovizoea!?


CCM ndiyo walimtuma.
 
Hata atawale milele ni sawa tu. Ila afungue madirisha watoto wetu wapate ajira.
 
Nyinyi hayo maigizo yenu mkawaeleze watoto wa chekechea au misukule.Maana ukifatilia mtiririko mzima wa hiyo filamu utagundua kwamba logic haipo.
 
Hata atawale milele ni sawa tu. Ila afungue madirisha watoto wetu wapate ajira.
Huo ni upuuzi wa hali ya juu,Maana hakuna nchi hata moja hapa ulimwenguni ambayo imeweza kuajiri wananchi wake wote.
 
Wenye akili tunajua wabongo mnaandaliwa.
Huo mjadala umeanzishwa na pogba mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…