Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

MBona hakamatwi kwa kupingana na Rais kuhusu jambo hilo?

kavulata,
Siyo akamatwe tu baali inatakiwa amininiwe risasi 38 kama alizopigwa nazo Lissu.....!!!Maana huyu Ngamia chizi wa Dodoma anapinga na anamkosoa Rais wake....!!!Tunataka anyamazishwe tena haraka asije akaliingiza Taifa kwenye majanga.
 
Huyu Ana lake jambo. Kwani mheshimiwa Rais aliwahi kumwomba ampigie debe?
 
Nkamia: Nitapeleka hoja binafsi muda wa Urais uwe wa vipindi vya miaka 7, baada ya utendaji mzuri wa rais.

Wananchi: Mmmhhh (miguno kuonesha hawaafiki wazo la Nkamia)

Rais kupitia Polepole: Nachukizwa na wenye mawazo ya kuongeza kipindi cha madaraka ya rais.

Wananchi : Bora rais kazungumza kuwaziba midomo wenye kutaka kuleta mtafaruku ( Hapa rais kachukua point kwa kuonekana makini).

Nkamia: Nitaongea na spika kujua nini kifanyike ili hoja yangu isikilizwe. (Huenda akawa anajikosha ili asionekane bwege kwa kuwa na hoja kiloja).

Angalizo: Hii movie haijaisha bado
 
Nani mpendwa wako.
Kwani Ameshamaliza hata hiyo mitano aliyopewa na NEC.
Tatizo lenyu watu kama nyie ni wakujibaraguza tu
 
Nkamia anatafuta cheo na wala sio maslahi kwa taifa, aje na miaka 4 tutamuelewa kwani kama ni kumjua raisi tumeshamjua, aje mwingine huenda nae akaja na mazuri yake.
 
WATU8-usipotoshe watu Mh. Nkamia alitaja sababu za gharama tu siyo utendaji mzuri wa rais
 
Nkamia anatafuta cheo na wala sio maslahi kwa taifa, aje na miaka 4 tutamuelewa kwani kama ni kumjua raisi tumeshamjua, aje mwingine huenda nae akaja na mazuri yake.
pilipili kichaa- Mh. Nkamia anatafuta cheo
Hon. Juma Selemani Nkamia


Member Type : Constituent Member

Constituent : Chemba

Political Party : CCM

Phone : +255768711707

P.O Box : P.O Box 830 KONDOA

Email Address : j.nkamia@bunge.go.tz

Date of Birth : 1972-01-01



Education History :


School Name/Location Course/Degree/Award From To Level
University of Dodoma Bachelor of Arts in International Relations 2012 2015 Bachelor
Sengerema Secondary School - 1989 1990 Secondary School
Mzumbe Secondary School ACSEE 1990 1992 Secondary School
Mpwapwa Secondary School CSEE 1985 1988 Secondary School
Iyoli Primary School CPEE 1980 1984 Primary School
Tanzania School of Journalism Diploma in Journalism and Mass Communication 1996 1999 Primary School
Bicha Primary School - 1978 1980 Primary School


Employment History :


Company/Institution Position From To
Voice of America (VOA-USA) Editor 2008 2010
Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) Editor 2006 2007
British Broadcasting Cooperation (BBC) Presenter/Journalist 2003 2006
Radio Tanzania Presenter 1995 2003


Political Experience :


Political Party Position From To
Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020
Ministry of Information, Youth, Culture and Sports Deputy Minister 2013 2015
Chama cha Mapinduzi Member of the District Executive Council 2012 Todate
Chama cha Mapinduzi Member of the Meeting 2010 Todate
Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015
Chama cha Mapinduzi Member of the General National Meeting 2002 2005

KESHA KUWA
DINI- ALHAJ
SIASA- MBUNGE
KAZI- KUTANGAZA
KUTEULIWA-NAIBU WAZIRI
KABAKIZA
DINI-KWENDA MBINGUNI (MOTONI/PEPONI)
SIASA-URAIS
KUTEULIWA- WAZIRI
BUNGE-USPIKA AU NAIBU SPIKA
Mh. Nkamia ni kati ya watanzania wachache waliopata bahati
 

CCM bwana! Watz ebu epukaneni na haya mambo. Ndiyo maana tunaitwa yale majina>>>>>......
 
Huwa namuona Nkamia kuwa mtu mwenye "arrogance ya kijinga," sana. Yeye ni nani hata alazimishe kitu ambacho Rais mwenyewe hataki?Nadhani Nkamia ni mtu asiyejitambua na niseme pia kwamba hamuelewi vizuri JPM.Rais ni mtu ambaye ana msimamo usioyumba.Which is a very good characteristic for a head of state.Hongera Rais kwa kuheshimu katiba.
 
Kuna danganya toto hapa, werevu washang'amua kitambo sana! Ni suala la mda tu, niwakumbushe clip moja ilikuwa ikisambaa sana kumuonesha mzee baba akiambiwa achukue fomu ya kugombea Urais na akagoma wazi wazi ila baadae maybe baada ya kushauliwa sana alikubali!
 
Well spoken comrade but am not sure unajiamini nini. Hawa jamaa kama walimrushia marisawa 38 yule kijana tena a kutokea bungeni kasoro tu Mr God a kawaambia "no way he still has a job to do for me" akamponya na kumuepusha na kifo they can do anything to anybody. Na bado unaambiwa atashtakiwa kwa kulalamika juu ya majeraha aliyo nayo. Eee Mungu bariki nchi ya v wonder
 
Huyu nae atutolee upuuzi wake hapa, wanazidi kutuona watz wajinga kila siku, kuna watu wanatia hasira basi tu
 
OLYANU-OHO WAVUKA EMIPHAKA SIGA UJE ULOLE- UNASEMA MANENO AMBAYO HUNA HAKIKA NAYO WALA HUU UNAOFANYA SI UCHOCHEZI BALI UJINGA
 
Uvivu wa kufikiri ndio unatusumbua, hiyo ni plan kabisa... let us wait and see
 
Juma Nkamia yupo sahihi kabisa na mimi namuunga mkono kwa asilimia 100. Tena kwa jinsi Rais Magufuli alivyomchapa kazi hata miaka 7 haitoshi, yafaa aongezewe iwe miaka 10 kwa kila muhula ili atumikie hii nchi kama Rais kwa miaka 20 jumla.
Mimi na Wana-CCM wengine tunako pamoja na Nkamia. Hii kitu ni lazima ifike Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…