Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hii ndio Tanzania yetu na watu wakeNimemsoma huyu jamaa nikajiuliza hivi watu wa namna hii akili huwa wanapeleka wapi? Huu upuuzi anaongea tena kwa kujidhalilisha unamjenga vip...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio Tanzania yetu na watu wakeNimemsoma huyu jamaa nikajiuliza hivi watu wa namna hii akili huwa wanapeleka wapi? Huu upuuzi anaongea tena kwa kujidhalilisha unamjenga vip...
Ngama mi huwa namwelewa Sana. JPM alikuwa anatisha na kukua ilikuwa sekunde tuNimemsoma huyu jamaa nikajiuliza hivi watu wa namna hii akili huwa wanapeleka wapi? Huu upuuzi anaongea tena kwa kujidhalilisha unamjenga vipi...
Hata huyu Nkamia anavyofanya hivi ni kwa kuwa anaona upepo umebadilika.Itakuja Kutokea Kwa Hangaya Pia. Ts a matter of Time Mzee Wangu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndiyo anafanya yote hayo.Sasa wa hovyo kivipi? Mtu anasomesha watoto wewe ulikua unatakaje kwani kumsifia jiwe ilikuwa inahitaji sh.ngapi ili ku survive?
Ukweli mchungu.Kuna mtu wa kumnyooshea Nkamia mkono humu? Mbona sisi tumejificha na fake ID? Mbona mmekubali kuongozwa na Samia na Majaliwa ambaye wamekiri hadharani na kwa vitendo hawakuwa na Magufuli? Wako wapi watanzania waliodhubutu kusema kweli kipindi hicho, zaidi ya Lissu,Lema, Mbowe na wengine wachache ambao waliishia kutaka kuuliwa na kubambikizwa kesi
Hao viongozi wenu wa dini ndio walikuwa mstari wa mbele kwa unafiki,sembuse Nkamia?
Hivyo hakuwa sahihi kufikiri kwamba Magufuli hupenda kusifiwa.Alitegemea akipigia chapuo huo mpango haramu wa dhalimu ndio atasalimika.
mwanasiasa yupi asiye na sifa hizo? Umesahau na sifa ya uongo.Mtu kama huyu hastahili kuaminiwa tena na wananchi. Maana ni muoga, hajiamini, mbinafsi, mnafiki na mchumia tumbo.
Marehemu alipenda sifa( kutukuzwa)Nkamia bhana, kwa hiyo hoja yako ni ipi.
Asante Hayati JPM Magufuli (R.I.P), sasa tunawajua watanzania ambao hawatufai kutuwakilisha na wale ambao wanatufaa kutuwakilisha.Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
Pia soma
Alitumwa na tumbo lake!Kwa hiyo wale mliosema nkamia alitumwa alete hoja ya 7 yrs, tunakubaliana sasa kuwa hakutumwa?