Msimuhukumu sana. Jiwe alikua jiwe kweli kweliHuyu Juma Nkamia ni kati ya wanasiasa wachovu wanaochezea mustakabali wa siasa na maslahi ya umma kwa matatizo binafsi
Alli Kessi ni kichaa kwa kuwa alisema Jiwe aongoze milele! Jiwe alikuwa Mungu?Atake asitake tutamuongezea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado Alli Kessi wa Nkasi nae aje atubu kwanini aliyaka Jiwe aongozewe mihula
Juma Nkamia ndiyo mfano halisi ya wanasiasa maslahi waliojikomba kwa Magufuli kwa expense ya waliomchagua.Msimuhukumu sana. Jiwe alikua jiwe kweli kweli
NAKAZIA kwa herufi kubwa! 😡😡😡Mtu kama huyu hastahili kuaminiwa tena na wananchi. Maana ni muoga, hajiamini, mbinafsi, mnafiki na mchumia tumbo.
Unapenda sana ligi mkuu🤣🤣Naomba mwenye ile pic ya kessy kainama bungeni aweke hapa😂🤣
Tulifahamu ile ilikuwa in hoja ya kulinda tumbo lake Nkamia na hivyo ndivyo walivyo CCM wote.Tumbo na maslahi binafsi yanaliangamiza Taifa la Tanzania.Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
Pia soma
NakaziaHuyu ni mrangi sio?
Alinitiaga hofu sana kufikiria tutakua chini ya jiwe hadi 2038[emoji16][emoji56]Juma Nkamia ndiyo mfano halisi ya wanasiasa maslahi waliojikomba kwa Magufuli kwa expense ya waliomchagua.
A self confessed boot licker for personal gains, and he has made it public.
Na njaa Imeanza kumkaba tena,anafikili ataramba hata uDCEeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]
😂Hiyo picha huwa inanifurahisha Sana Mkuu
Juma Nkamia, Ally Kessy, Ndugai na Deo Sanga, hawa walikuwa ndiyo front runners wa kumuongezea muda DIKTETA wa Chato.Na mpuuzi mwingine anaitwa ALLY KESSY wanaNkasi wakamchinjilia mbali.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Huu ni mkakati wa kuchafua 'legacy'ya JPM, ila hawatafanikiwa.Juma ni wa ovyo sana kama vijana wengi wa twitter... Uthibitisho ndo kama huu sasa!
Na alianza mapema tangu akiwa Simba, RTD/BBC.
Ndio uone ccm livyojaa wanafiki!! JPM alidhani kina Lissu na Mbowe wanamhujumu na sio wazalendo bila kujua waliomzunguka ndio wabaya zaidi yaani Chui waliovaa ngozi ya kondoo!!Huu ni mkakati wa kuchafua 'legacy'ya JPM, ila hawatafanikiwa.
Tindo zitto junior Yoda Matola Statesman Idugunde Crimea comte Suzy Elias peno hasegawa britanicca JokaKuu
FRANC THE GREAT
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
Pia soma
Hivyo hakuwa sahihi kufikiri kwamba Magufuli hupenda kusifiwa.